Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

Imethibitishwa au ni ndoto zalinacha???
Za abunwasi
We binti tabia mbaya umeanza lini?
Mmmm
si bora nije ning'ate mmi tena kidooogooo kwa mbaaaliiii
We ni mdudu?
Wadada watundu sana
Hata wakaka walikuwa wanaweka
Huyu na yuleeee....huyu anapenda makubwa yule madogo daaah
Mwingine flati
niliwekaga lakini wala haikuleta impact
Itakuwa uliweka nyenyere
 
Ha ha ha mmmh fukufuku,tena unamuimbia na wimbo kinatoka chenyewe kinatembea kinyumenyume
 
wale wadudu hawapo kila sehemu, wapo kwenye aina fulani ya udongo. na si kweli kwamba wanakuza manyonyo, ila ukimuweka kwenye ngozi wanan'gata kwa mbaaaaali then ile sehem aliyoin'gata inavimba, basi enzi zile za utoto tunamuweka kifuani, pakivimba ndo tunadhani manyonyo yamekuwa, akili ya utoto tu.....
 
RIP Mr Ebbo, maana ungekuwa hai ungetoa part two ya 'maneno mbofumbofu'
 
wale wadudu hawapo kila sehemu, wapo kwenye aina fulani ya udongo. na si kweli kwamba wanakuza manyonyo, ila ukimuweka kwenye ngozi wanan'gata kwa mbaaaaali then ile sehem aliyoin'gata inavimba, basi enzi zile za utoto tunamuweka kifuani, pakivimba ndo tunadhani manyonyo yamekuwa, akili ya utoto tu.....

Ya ukubwa ni mchina et, hahaha
 
Ukiula humu hawez pata jibu labda Fanya hivi kama kuna mtoto hapo tafuteni makopo fungeni Uzi kopo moja kwako Na lingine kwa mwenzio Na muyaweke sikioni halafu kuuliza hayo maswali ninahakika hautokosa jibu sahihi
 
Kweli utoto raha,nakumbuka enzi hizo nilijaribu kujiwekea Utomvu wa minyaa kwenye rungu langu..dah
 
Wenyeji wa Mbeya na viunga vyake walikuwa wanatumia Ngerengere vidudu flan hivi vilikuwa vinapatikana kwenye madimbwi ya maji na mtoni
 
Kuna wadudu fulani miaka ya nyuma tulikuwa tunawafukuwa ardhini halafu unamweka kwenye chuchu eti manyonyo yakuwe.

Mnawakumbuka?

Walikuwa wanaitwa 'FUKUFUKU'
hivi wanapatikana wapi? white rose

tena sana wadudu hao bado wapo sisi wanaume tulikua tunachanja dushelee na kupaka utomvu wa matunda flan yanaitwa madodoki ili kitu ikue sasa ole wako ulisahau tunda ulilochanjia yaani utakata matunda yote kuogopa dudu kua over size
 
tafuta miti yenye matunda marefuu nawe utapata mtindi wa nguvu. hao wadudu walikuwa wanakaa kando ya nyumbo zisizo na sakafu kwa sasa utawapata wapi watu wanasakafia nyumba zao? labda wende kijijini :A S wink::A S wink:
 
Back
Top Bottom