Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,644
Hii ni kutokana na jinsi walivyo patikana hao tano bora
Hii ni kutokana na jinsi walivyo patikana hao tano bora
Pole unajipa Moyoeheeeee CCm bwana wajanja kweli, kwanza walianza kumtumia Zito, CHADEMA kikawa HOI, hALAFU WAKAMTUMIA LOWASA UKAWA CHALIIII, sasa kwa ulaini kabisa watachukua nchi hata wakimteua nani upinzani chaliiiiiiiiiiii.