Recent content by NYAGO

  1. N

    Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

    Yaaani huyu mzee wa kigogo ameishiwa sera na akalime ubuyu hasomi upepo unapovuma sasa kwa taarifa yake asijifananishe na Mh Lowasa hata chembe kama yeye alipigwa chini kipindi cha mkutano mkuu wakati wa kugombea nafasi ya urais ni yeye tu. Mh Lowassa ni makini Mungu ampe maisha marefu hakika...
  2. N

    Tume ya ajira jamani munatusumbua

    hiyo tume ya ajira ni wahuni tu uliona wapi kazi inatangazwa then interview inachukua miezi hata 4 dadi 6? nchi hii inahitaji marekebisho mengi sana katika sera zako na hasa eneo kubwa la KATIBA. ajira inatangazwa lakini watu wameshapangwa tayari
  3. N

    Fomu kwa wale wambao wanataka ukarani kwenye sensa ikiwemo waliomaliza chuo lakini hawana ajira

    Jamani nina wasiwasi na hilo Tangazo liloletwa hap JF kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya PDF. hivi uliona wapi Tangazo la Selikari halina Nembo ya Taifa i mean Ngao ya bibi na Bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na...
  4. N

    Sekretarieti ya Ajira ichunguzwe, kuna dalili za rushwa!

    Nasikitika sana tena huyu jamaa anayejiita POLISI na comment yake ya Many saw the apple falling, but Newton was the only person to ask why ni mpuuzi tena kwa msisistizo mpuuzi sana. watu kama hawa ndio wanobebwa na vimemo na kupuuza mapendekezo yanayoletwa na wadau kuhusu uozo wa secretariat ya...
  5. N

    Secretariat ya ajira-nafasi za afisa uchunguzi ii interview tuliofanya mwembe yanga je wameshaita?

    jamani wadungu tujuzane waliofanya written interview ya nafasi ya afisa uchunguzi ii kule mwembe yanga vipi wameshaita interview ya pili i mean oral interview????? Nawasilisha
  6. N

    Jamani msifikiri ni utani hilo suala la nida liloletwa hapa jamvini

    Jamani hilo suala ni la kweli kabisa hata mimi nathibitisha na wala sio uzushi. Mimi binafsi kuna jamaa angu mkewe kapata wiki moja iliyopita kimyakimya....nilipata taarifa kwa mume wewe na nikapigwa na butwaa. nilimuuliza wametangaza lini akanijibu hawatangazi ila kama unamjua mtu strong NIDA...
  7. N

    Nida

    Jamani msije mkazani ni utani vitu vinavyoandikwa hapa kwenye jamvi la wana JF.....Mimi mwenyewe binafsi nilipigwa na butwaa wiki moja iliyopita kuna jamaa yangu tulikuwa tunachapa nae mzigo akanipigia simu kuwa mkewe amepata NIDA kwenda kufanya registration za vitambulisho! nikamuuliza...
  8. N

    Walimu acheni ujinga hebu nendeni sehemu mlizopangiwa.

    KWA KWELI MIMI NIMEJISIKIA VIBAYA SANA KUWAPONDA WALIMU HIVI NYINYI BILA WALIMU LEO HII MNGEKUWA TOWN MNACHATT FACEBOOK,JF NA TWEETER???? HEBU FIKIRIENI KAMA WALIMU WATAENDELEA KUWA KATIKA MAZINGIRA DUNI JE HAO WADOGO ZETU WATAKUWA NA MUSTAKABARI GANI? ITS TIME FOR THEM TO SELECT PLACE OF WORK...
  9. N

    Msaada jamani wa haraka jinsi ya kuapply ikiwa hivi...

    Kiufupi inatakiwa uombe separate yani unatuma bahasha tatu kila moja itawakilisha nafasi ulioomba; then wao sasa ndio jukumu lao kuchuja na kuona which position among ulizoomba wakushort list kwenye interview...nadhani umenipa mwana JF
  10. N

    Wana jf ninatafuta mfanyakazi wa ndani; sifa awe msichana aliyehitimu darasa 7

    Ninaishi Tank bovu mbezi Beach mawasiliano akipatikana 0714 794842. ila awe mwaminifu.
  11. N

    Kwa wadau wa IT

    wadu wanauliza vipi garama zako wanahitaji utoe mchanganuo wako kuna mtu yuko serious anataka apigwe msasa maeneo uliyoyataja. 0714 794842
  12. N

    Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

    TOKO LYAKO agwe muwaha............... unaleta mambo ya kulinganisha mwenye elimu na asiye na elimu eti tu kwa sababu ajira hakuna kitaeleweka tu huko mbele ndio utakapojua kumbe elimu noma. Kwani ngo`mbe wasio na elimu ndio wanatuangusha siku zote wanawapa mafisadi ulaji kwa kuwapigia kura eti...
  13. N

    Ero link

    E-mail ya eo link ni it@mygoli.com tuma mzee kazi ni kwako !!!!!
  14. N

    Kuitwa kwenye intaviu NHIF

    Poor HR management, mimi binafsi siwezi hata kwenda kupoteza karamu yangu na wino kwa ajili ya upuuzi. Nchi hii inanuka rushwa kila corner, uliona wapi watu wanaapply kazi then unaita wote kwenye interview??? siku hizi kazi ikitoka wakubwa ambao ndugu zao wako bechi hawana kazi wanatuma vimemo...
  15. N

    How many sex partners have you had?

    JAMANI WANA JF OGOPENI NGOMA MAANA mademu wengine unakuta wana VVU
Back
Top Bottom