Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

Hata kupga debe kwnye magari mmeshndwa mbona ulaya watu wana elimu zao wanazbua vyoo huo ulimbukeni kuchagua kazi nendeni hata kwnye zege au hamjui mwanaume kazini shauri yenu umri unakwenda na nchi imeuzwa,hata chupa okoteni nayo ni kazi

Yani, we mpuuzi credit yng imeishia kwako. Hzo kazi fanya mwenyewe we unazani kwa nini ha2taki kujiajiri kwny shughuli km hzo. Wataleta Bachelor za hvo vi2. Ie. B.A degree in Road cleanless etc
 
Jaman can anybody out there hook me up with a gig need a parttime job. Am a college student majoring in IT and on my 3rd year.
 
Hatuwezi kukulaumu. Tunamlaumu aliyekusababishia hayo. Inaonekana ulipozaliwa ulitupwa chooni ndio maana sehemu ya ubongo wako haufanyi kazi vizuri. Harufu ya mavi ukichanganya na kishindo ulichokipata kwenye shimo la choo = bongolala. Mwana kulaanika we.
 
TOKO LYAKO agwe muwaha............... unaleta mambo ya kulinganisha mwenye elimu na asiye na elimu eti tu kwa sababu ajira hakuna kitaeleweka tu huko mbele ndio utakapojua kumbe elimu noma. Kwani ngo`mbe wasio na elimu ndio wanatuangusha siku zote wanawapa mafisadi ulaji kwa kuwapigia kura eti wanaogopa vurugu, wanauza haki zao kwa khanga,buku tano, na mahindi ya msaada. sasa subiri watu wapate elimu ndio watatambua kilichomtoa nyoka pangoni
 
hv wapuuzi kama hawa jf wanafata nini? That person can never be a great thinker. Ila tumsamehe bure manake mwingine anapost mada ili ajulikane nae katoa mada jf.
 
Hata kupga debe kwnye magari mmeshndwa mbona ulaya watu wana elimu zao wanazbua vyoo huo ulimbukeni kuchagua kazi nendeni hata kwnye zege au hamjui mwanaume kazini shauri yenu umri unakwenda na nchi imeuzwa,hata chupa okoteni nayo ni kazi

Uharo wa bata.
 
Mchagua kazi wakati hana sifa ya kazi ile aitakayo ni sawa na yule mtu apendaye kuwa kiongozi wa nchi na wakati misingi ya uongozi haijui,jamani eeh tusichague kazi maana kazi ni kazi madamu isivunje taratibu za nchi na ikupatie kipato.
 
Hata kupga debe kwnye magari mmeshndwa mbona ulaya watu wana elimu zao wanazbua vyoo huo ulimbukeni kuchagua kazi nendeni hata kwnye zege au hamjui mwanaume kazini shauri yenu umri unakwenda na nchi imeuzwa,hata chupa okoteni nayo ni kazi
maaa,m.a.ko!
 
Back
Top Bottom