Msaada jamani wa haraka jinsi ya kuapply ikiwa hivi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani wa haraka jinsi ya kuapply ikiwa hivi...

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Pawaga, Jan 24, 2012.

 1. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Habari?,mfano kampuni au taasisi imetoa nafasi mbili au tatu ambazo UNAQUALIFY zote,je unaweza omba zote?,na ktk uombaje unatuma bahasha mbili au unatuma katika package moja lkn barua mbili?. Asanteni sana
   
 2. N

  NYAGO Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiufupi inatakiwa uombe separate yani unatuma bahasha tatu kila moja itawakilisha nafasi ulioomba; then wao sasa ndio jukumu lao kuchuja na kuona which position among ulizoomba wakushort list kwenye interview...nadhani umenipa mwana JF
   
 3. K

  KIMALIKE Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Minaona ni vema kutuma zote separate
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pia Unaweza Kuomba Ktk Barua Moja Kwa Kuorodhesha Post zilizotajwa na wewe unaujuzi nazo ktkt heading, ikiwa uchumi hauruhusu.
   
 5. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Better separate
   
 6. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  nashukuru wakuu,dah uchumi wenyew barua 3 ni kazi kweli.
   
 7. C

  COSKY New Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuweka kwenye package moja sio nidhamu, pili itaonyesha huko serious
   
Loading...