Jamani msifikiri ni utani hilo suala la nida liloletwa hapa jamvini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani msifikiri ni utani hilo suala la nida liloletwa hapa jamvini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NYAGO, Feb 1, 2012.

 1. N

  NYAGO Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Jamani hilo suala ni la kweli kabisa hata mimi nathibitisha na wala sio uzushi. Mimi binafsi kuna jamaa angu mkewe kapata wiki moja iliyopita kimyakimya....nilipata taarifa kwa mume wewe na nikapigwa na butwaa. nilimuuliza wametangaza lini akanijibu hawatangazi ila kama unamjua mtu strong NIDA mface then unapata mchongo. kwa kweli mimi niliishiwa nguvu kwa taasisi kama hiyo ya serikali inafanya mambo kienyeji namna hii tutafika kweli???
   
 2. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ndio nini?
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  mi pia sijaelewa mkuu
   
 4. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  NIDA ndio nn jamani?
   
 5. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  NIDA ndo nn jamani?
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  National Identification Authority
  Tena ndo wakijua umo jf hupati kazi ng'oooo! Kwa sababu za kiintelejensia!
   
Loading...