Wana jf ninatafuta mfanyakazi wa ndani; sifa awe msichana aliyehitimu darasa 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf ninatafuta mfanyakazi wa ndani; sifa awe msichana aliyehitimu darasa 7

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NYAGO, Jan 17, 2012.

 1. N

  NYAGO Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninaishi Tank bovu mbezi Beach mawasiliano akipatikana 0714 794842. ila awe mwaminifu.
   
 2. e

  elia mgina Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata vema lakini, hilo linawezekana ila nacho omba uonyeshe hapo ni salary statement when other factors considered. au unaonaje coz siwezi mtoa mtu huko pasipo kujua benefits zake.....
   
 3. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  watoto wa watu wanaenda shule siku hizi, shule za kata kibao, halafu acha kuendekeza child labour utajafungwa wewe
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa yangu anaenda kijijini kwao Iringa na mara nyingi anarudigi na msichana kwa kazi, kama akipewa order. Ka ukikosa nicheki nimuulize
   
 5. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Tangazo lako halijakamilika. Elezea mshahara, na mazingira ya kazi yakoje. Kazi gani hasa atakuwa anafanya, fafanua kama kuna watoto wadogo atakaokuwa anawahudumia. Kutakuwa na likizo? Siku za kupumzika? Huduma za matibabu je?
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  umenijibia.
   
Loading...