Kuitwa kwenye intaviu NHIF

cslab

Member
May 20, 2009
33
0
kwa walio'omba kazi nhif wanaitwa kwenye intavie, habari kamili Daily Newz ya leo .
 
attachment.php
 
WEKENI MAJINA, MIMI NTAJUAJE KAMA BARUA YANGU ILIFIKA ?? KAMA AIJAFIKA NIKIJA MTANIRUHUSU KUFANYA IYO INTERVIEW,
NIMEFUNGUA WEBSITE YENU PIA AKUNA MAJINA, binafsi naona tangazo lenu alijajitosheleza sijui wadau wengine wanasemaje
please tunaomba wekeni majina kwa wote wanaotakiwa kuja
 
Ukiona majina hayatolewi jua ni usanii wanaoufanya,watu wameishapangwa.Hivi ni lini wafanyakaz wa serikalin mtakua na akili za kufanya mambo yenye mantiki?.utaita vip watu ktk usaili bila kutaja majina yao?.
 
WEKENI MAJINA, MIMI NTAJUAJE KAMA BARUA YANGU ILIFIKA ?? KAMA AIJAFIKA NIKIJA MTANIRUHUSU KUFANYA IYO INTERVIEW,
NIMEFUNGUA WEBSITE YENU PIA AKUNA MAJINA, binafsi naona tangazo lenu alijajitosheleza sijui wadau wengine wanasemaje
please tunaomba wekeni majina kwa wote wanaotakiwa kuja
Unamwambia nani humu? Kwa mwandiko huo utafeli interview ya kuandika !!
 
DoooH! kazi rahisi sana ,nenda kafanye intaviu, acha longo longo,kila mtu ameitwa ,kapambane.

WEKENI MAJINA, MIMI NTAJUAJE KAMA BARUA YANGU ILIFIKA ?? KAMA AIJAFIKA NIKIJA MTANIRUHUSU KUFANYA IYO INTERVIEW,
NIMEFUNGUA WEBSITE YENU PIA AKUNA MAJINA, binafsi naona tangazo lenu alijajitosheleza sijui wadau wengine wanasemaje
please tunaomba wekeni majina kwa wote wanaotakiwa kuja
 
Si ndo hapo suala ni kuona majina then ndo mpango mzima,pia naomba msaada wa kufahamu wakala wa uchukuzi na usafirisha wanapatikana wapi hapa dar es salaam?
 
Mi niliapply lakini kwa dizain hii siendi, yaliyonikuta udom nimetosheka....hopeless HRs, wazushi sana, nendeni mkapigwe pepa
 
Hawawezi kuweka majina peupe kwa sababu kuna watu wengine wana kazi zao ambao wanaweza kuwa 'potential'sasa wakiweka majina peupe watapigwa stop na maboss wao. Na muda huo kinakuwa hakieleweki watu wataogopa kumwaga mboga wakati hakijaelelweka. kwa hiyo hawaweki majina peupe mpaka kimeeleweka ndipo wanayaweka peupe, kwani wakati huo uhakika upo wa kuchagua kusuka au kunyoa.
 
Kwa uzoefu wangu hili ni tatizo la kukosa elimu. Kila aliyetuma barua naamini ameambatanisha anuani yake aidha kwenye CV au covering letter. Hainiingii akilini kwa wahusika kushindwa kuwatumia watu angalau 'e-mai', badala yake linatoka tangazo la jumla as if watu wanaitwa kwenye mkutano wa kutoa mapepo kwa kuwa kila mwenye nayo anajua kuwa anahitaji maombi.

Haya ndio matatizo ya kuwa na IT department 'kihiyo'. Hivi kweli pale kwenye Ms Word hamuoni 'mail merge' dah! Kwa ubongo wa namna hii ndio maana tunalazimishwa kuwa mashoga tupewe misaada
 
Poor HR management, mimi binafsi siwezi hata kwenda kupoteza karamu yangu na wino kwa ajili ya upuuzi. Nchi hii inanuka rushwa kila corner, uliona wapi watu wanaapply kazi then unaita wote kwenye interview??? siku hizi kazi ikitoka wakubwa ambao ndugu zao wako bechi hawana kazi wanatuma vimemo kwa wahusika wanaorecruit ili wapatiwe kazi sasa marecruiter wakiona vimemo vya moto vimetoka kwa wakubwa zaidi ambao wanaweza kuhatarisha nafasi zao wanachokifanya wanawaita watu wote ili wawe na sababu ya kusema tuliwaita wote badae wanawaweka watoto wa wakubwa.
 
TZ siasa imezid sana mpaka kwenye utkelezaji wana aply siasa tu! sijui kama tutafika mhuuu.
 
Back
Top Bottom