Ero link

hawa jamaa wako morroco sehemu gan?

shuka moroco tembea mbele kama unaelekea mwenge vuka mataa upande ilipo sheli ya bonjour,songa mbele kidogo utakuta barabara ina panda karibu na kanisa la watakatifu wa siku za mwisho utaona kibao cha erolink,chapa lapa kidogo utaiona
 
E-mail ya eo link ni it@mygoli.com tuma mzee kazi ni kwako !!!!!

asante let me try, ila nackia wakikutafutia kaz kuna percent wanakuwa wanachukua kwenye mshahara wako, na mkataba et unakuwa ni kat yako na erolink na sio wewe na alokuajiri, hv ni kweli au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom