Sekretarieti ya Ajira ichunguzwe, kuna dalili za rushwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekretarieti ya Ajira ichunguzwe, kuna dalili za rushwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Apr 20, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Habari wana jamvi,
  Ni mara ya kwanza kuitwa hawa watu kwa ajiri ya Interview. Ila kile kilichojitokeza jana kikiachwa kiendelee tutakuwa tunaendeleza ugonjwa uleule na kupoteza dhana nzima ya kuanzishwa kwake.
  Nilibahatika kuingia kwenya mtihani wao wa maandishi ukilinganisha nawale ambao hawakupata nafasi ya kufanya mtihani huo, kwasababu zisizo na msingi za kukosa vyeti halisi vya elimu zao. Ikiwa matokeo ya mfumpo mbovu wa vyuo vyetu.
  Kinachonisikitisha ni namna gani wanasahihisha hiyo mitihani yao kupata washindi kwa ajili ya Oral interview. Kwa mtihani ambao nimeufanya sijaona tatizo na kosa la kunifanya nisirudi kwa Oral interview.
  Na sisitiza hii taasisi iangaliwe kwa macho mawil.i Nachelea kusema kuwa kuna dalili za Rushwa, Makisi za huyu kupewa mtahlniwa mwingine, Kuna ukabila.
  Taasisi ichunguzwe kabla watanzania hatujapoteza imani nayo. Kwawale wamepata ajira kupitia taasisi hii kwa kubebwa watabeza ushauri huu.
  Kwa wale waanga kama mm tujipe moyo tumaini linakuja.
  IF YOU CANNOT KILL YOUR, BUY HIM
   
 2. w

  white wizard JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  pole sana kaka!lakini hivi hili tatizo la vyuo kuchelewa kutoa vyeti halisi ni tatizo la mhitimu?mi juzi nimekwenda chuo cha uhasibu(TIA)kuulizia cheti cha dogo amealiza mwaka jana,he!naambiwa pale cheti ni baada ya miaka 3!
   
 3. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Watu tulipata kazi kupita hapo na wala hatukutoa rushwa. SINA CHA KUCOMENT ZAIDI YA HAPO.
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hongera ndg, Na lazima utamke haya na mi sikatai ila nia angalizo tu hiii taasisi kuwepo kwake kuna lengo kubwa kwa taifa hasa sisi vijana. Lakini kama nyumba inavuja ni lazima uzibe tundu kabla ya nyumba haijabomaka. Bado nina Imani ni taasisi ni mambo madogogo madogo inatakiwa yawekwe sawa. Mtihani niliofanya ulikuwa una maswali matano ambao nimefunga safari kutoka mbali kwa ajili yake.

  Na juu ya hiyo kwa Interview ya 19/04/2012 pekee yake kuna zaidi Thread yangu inawalaumu hawa watu. So mpaka kufikia hapa ni Watanzania wangapi hawasemi ni ANGALIZO tu mkuu.

  Kabla watanzania walio wengi hawajapoteza imani kwa taasisi hii
   
 5. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hata mm nakumbuka mwezi uliopita niliitwa katika interview na tume hiyo hiyo..., nashangaa kuona watu wana videsa kabla ya paper na watu wana discuss hizo points as if ni kama wamesomeshwa darasani, ila mm sikuwatiia maanani COZ NILIJIANDAA NINAVYOJUA MM. kuingia ndan ya paper ya written, mambo yakawa ni yale yale ambayo waliokuwa wakidiscuss yametoka.

  by then baada ya hapo nikafanya ninayo yajua, then nikajua kuwa hii nchi ni ya KITU KIDOGO

  Pole mdanganyika kwa yaliyokukuta...!
   
 6. A

  Agrodealer Senior Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kwel wapo wenye bahati ambao hawajatumia refa wala vimemo na hao huwa wanawekwa kupunguza ukali wa vimemo hatukatai.Hapa ni ukora mtupu bora hata ifutwe kabisa tuombe kazi mikoani na katika halmashauri zetu. Hivi kuna wahudumu wangapi wasahihishe paper leo kesho majibu yatoke kama si wiz mtupu, kutiana hasara, na kuchukuliana nyotaaaaaaaaaaa.
   
 7. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145


  Ni vizuri kutafakari juhudi zako na uelewa na matokeo badala ya kukimbilia kulalamika. Unaposhindwa jiangalie umeteleza wapi ili ujirekebishe na fursa zijazo na ufanikiwe badala ya kutupia lawama watu wengine kwamba umeonewa, usahihishaji si mzuri n.k. Hebu liangalie tena neno nililoliwekea alama nyekundu na ujiridhishe kama liko sahihi na kama lina maana uliyokusudia. kwa hiyo wakati mwingine wewe unaweza kuona umeandika sahihi kumbe siyo.
   
 8. T

  Tafakuru Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15

  Natumaini hujapata uwanja wa kukutana na hii sekretariet ana kwa ana. Inamapungufu mengi ambayo yasiporekebishwa karibuni wanasiasa wakaiona, bas watalifanya tukio la kisiasa na itafutwa tu bila shaka. Pamoja na haya yote, ni vigumu pia kuridhisha kila mtu ila si sahihi kuridhisha wachache maana yaweza kuwa ni ishara ya uvunjaji haki...
  Hii sekretariet haizingatii ubinadamu, haizingatii sheria za ajira na haina consistency. Leo wanaajiri kwa transcript kesho wanasema hawazitambui, keshokutwa wanakupigia sim uende kwenye mtihani na transcript yako yani madudu madudu madudu
   
 9. N

  NYAGO Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikitika sana tena huyu jamaa anayejiita POLISI na comment yake ya Many saw the apple falling, but Newton was the only person to ask why ni mpuuzi tena kwa msisistizo mpuuzi sana. watu kama hawa ndio wanobebwa na vimemo na kupuuza mapendekezo yanayoletwa na wadau kuhusu uozo wa secretariat ya ajira.

  Yawezekena anaishi kwa mama yake na baba yake ndio maana anatoa comment za kipuuzi na za kishuleshule, anaijua vizuri nch hii kweli? aombe mambo yake yanyooke kila siku siku atakapokuja kukumbana na matatitzo ya ajira ndio atajua shubiri iliyopo nchini kwetu na mfumo mbovu wa serikali hii usio na tija. madudu kuanzia ngazi zote mpaka kwa watendaji wakubwa wa serikali i mean bungeni, halafu unapinga mambo ya msingi bila aibu. kaka chunga unachocomment kama huna comment kaa kimya.

  Wadau tuendeleni kupambana na serikali hii ya kifisadi, najua ipo siku haki itapatikana kwa wanyonge wote, na wale vibaraka wote wa watoto wa wakubwa waendelee kujisifu ila bado kitambo kifupi tu mambo yatabadilika katika Taifa hili.

  Naomba kuwasilisha....
   
 10. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nyago, kama nimesema uongo shuhudia uongo wangu. Kama nimesema vema kwa nini unanitukana? Naomba nikukumbushe wewe na mwenzio kuwa demand ya ajira kwa tanzania ni kubwa mno kutokana na vyuo vingi kuzalisha wasomi wengi, mwingiliano na wenzetu wa nchi jirani ambapo baadhi ya ajira zinachukuliwa na wageni na mwisho kuanguka kwa mashirika ya umma na hivyo kushindwa kuajiri. Mimi ninachokwambia ni experience yangu kwa kuwa nimeshiriki mara nyingi sana (Si ktk sekretarieti ya ajira) ku shortlist na usaili.Kwa hiyo ushindani ni mkubwa mno. Tujitahidi kuwa smart sana katika application zetu na tuepuke makosa madogo madogo kama kweli tuna sifa.
   
 11. john leonard

  john leonard Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti experience ya miaka mitano,wakati sasa namaliza miaka mitano mtaani nikitafuta hata pakupatia hiyo experience,sibora wange tulipa hata nusu mshahara na marupurupu mengine au tip tuzipate hizo experience!chakushangaza chuo umetoka na msela wako wakati mmoja ila kwa kukuwa nchi inaongozwa na akina mjomba na shangazi na mfumo wa rushwa na kushikana mikono kwa maswahiba na shangazi,ndugu na wajomba ni full undugunisation!jamani nchi hii ni ya udugu na sio undugu!
   
 12. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole sana...................
   
 13. l

  lunyelunye Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi kwelikwli
   
 14. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hongera sana na nimependa comment zako na zinzzihihirifa namna ulivyo mpuuzi.
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Inaelekea hujiamini kabisa mdogo wangu. Suala la vyeti halina mjadala unatakiwa kuifuata maelekezo. Kama Vyuo havijatoa au vina taratibu mbovu hilo si suala la sekretariat. Sisi wenzio tuliajiriwa kupitia taasisi hiyo. Kama unadhani kuna ukabila na kujuana waambie warudishe utaratibu wa zamani uone kama utapata kazi,
   
 16. d

  dundula JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 541
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mi naona suala la rushwa au upendeleo lipo ktk taasisi na mashirika yote ya umma na hii inatokana na usimamizi mbovu watendaji wakuu wa serikali, nchi yetu haiwezi kuendelea kama ajira zinafuata ukabila na rushwa mfano nilishawahi kutoa malalamiko humu jf kuhusu TRA kutoa vigezo vikubwa sana ktk ajira zao ambazo haziendani na kazi husika hii yote nikutaka kukatisha watu tamaa ili wapachike watu wao.pole sana mkuu
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hata mie niliyesoma enzi ya kabla ya kuanzishwa hii tume nilipoomba ajira sehemu kadhaa serikali bila cheti sikuitwa hata kwene usaili. Hizi ni taratibu za kawaida. Kama waliajiri kwa transcript ni either kulikuwa na ulazima wa kuajiri mapema (priority) au makosa ya kibinadamu.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Umedhihirisha kukosa people skills. Wenzio wanajadili maswali wewe uko bize unajifanya uko fiti na tai yako, unaingia kwene pepa unakuta maswali ni yaleyale, kijasho kwanini kisikutoke?? Hili ni kosa lako mwenyewe kwa kuchezea bahati, haijalishi hayo maswali yalipatikanaje, wewe kama askari wa miguu ulitakiwa u-seize hiyo opportunity KWANZA mengine baadae.
  Sasa FYI, wengine kabla ya usaili hutafuta infos zinazohusika na posts wanazoomba, ikiwa ni pamoja na kudodosa maswali ya usaili. Ndio hao wenzako uliowakuta wanajitayarisha na maswali kabla ya usaili, walikuwa tayari dakika 5 mbele. Wewe ulishafeli kabla ya kufanya usaili maana hukufanya homework yako ya kudodosa kabla ya kuingia chumba cha usaili. Hivyo from neutral point of view, malalamiko yako hayana msingi.
   
 19. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani kwenye vyuo vyenye mfumo mbovu ni hicho,watu wamemaliza 2009 wamepata vyeti mwaka huu,Kiukweli sijaona rushwa kwenye sekretariati ila yawezekana ikiwa wepo maana kazi nyingi ni za kujuana.Nshafanya usaili pale na nkaona haki ikitendeka.
   
 20. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Pambafu! sasa hapo kwenye nyekundu umeandika nini? kama tu kuandika shida, utaweza kuandika CV na cover letter yenye ushindani kweli!
   
Loading...