Kilahunja
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 1,502
- 341
Wale wa arusha jamani,form zapatikana wap? Nimeskia wanalipa 700,000/=
duh! Lak 7 si haba..nenda kajaribu wilayani.
Wale wa arusha jamani,form zapatikana wap? Nimeskia wanalipa 700,000/=
Wale wa arusha jamani,form zapatikana wap? Nimeskia wanalipa 700,000/=
kumbe na wewe ulikua unaitaka,asa mbona ukawa unatukashfu kule kwenye ile thread?
hivi wewe umetumwa au!!? Na ndo mana hujibiwi mswal wako, kila sehem wauliza sh ngap? Nami najua na ckutajii..
vip,hujapata tu field?
vip,hujapata tu field?
sio kaz yako kujua...
jaman,kuna umuhimu wa kucertify vyeti kweli? Kwa ce ambao 2nangojea ajira? Cuz hapo kwa maelekezo yao hawajasema direct!
Duh!!hizi taarifa hazijawafikia hata ma DC ambao ndo wenyeviti wa kamati ya sensa,mi nimepeleka wamekataa kuipokea kisa hawajapewa maelekezo!!!
ww acha kupotosha wenzako kwanza unaonekana ww siyo mfuatiliaji wa mambo, no research no right to speak, haya acha uvivu nenda National Bureau of Statistics Tanzania - NBSJamani nina wasiwasi na hilo Tangazo liloletwa hap JF kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya PDF. hivi uliona wapi Tangazo la Selikari halina Nembo ya Taifa i mean Ngao ya bibi na Bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa JF. nawaomba mlichunguze wana JF kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha
Mkuu hata mimi nashindwa kuelewa mana kila nikichek in website ya sensa Tangazo lipo but ukilifungua halina kitu.Tuweke waz mkuu ulikolitoa may be me nimeshindwa fungua nipo hewani now.
Jamani nina wasiwasi na hilo Tangazo liloletwa hap JF kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya PDF. hivi uliona wapi Tangazo la Selikari halina Nembo ya Taifa i mean Ngao ya bibi na Bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa JF. nawaomba mlichunguze wana JF kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha
JaMANI INAKUAJE WATENDAJI HAWANA TAARIFA? sasa sisi TUPELEKE WAPI FORM? MANA HATA KUJAZA WAMEKATAA.
ALAFU KUNA WAKAKA NIMEWAKUTA KWA MTENDAJ WANATUJAZISHA FORM ZA NATIONAL ID, WANANIAMBIA "KAZI HIZO TUMESHAPEWA SISI" hapa nilipo nishachoka aiseee.