Recent content by nyabaheta

  1. N

    JamiiForums Tanzania walikuja Dar mkawafukuza!

    machinga=marching guy
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi utani usifungue hapa.

    kwenu mpo wengi hadi baba yenu akiamka asubuhi anawasalimia hamjambo watanzania.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa computer

    Habari wadau,ninatoa kozi za computer applications kama Word,excel etc,pamoja computer hardware,mtindo wa ufundishaji ni private,hivyo nakufuata mahali ulipo,kwa atayehitaji nitafute kwa namba hii 0714430096.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Diamond na Wema, Full drama!

    Weka hiyo clip mkuu.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

    Mi nilidhani untk kumuwowa kumbe kumuoa!?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nchemba anapomuita Mnyika mtoto wa kiume

    Binafsi sinunui tena muvi,nikitaka kutazama nawafukuza watoto wakalale nipate burudani.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rich Dad, Poor Dad by Richard T. Kiyosaki

    Ubungo stand ya mkoa,kuna jamaa wanavyo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Making Money Online

    Go to google,search online jobs,scam,that will get you to the bottom of it.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza tanzania

    Kweli mkuu,katufumbua macho huyu jamaa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza tanzania

    Mkuu,kwa mujibu wa robert kiyosaki,kuna aina tatu za uwekezaji,moja ni katika biashara yako mwenyewe,yoyote ile,mbili ni katika real estate,yaani nyumba,viwanja nk,tatu ni katika hizo mutual funds,ambazo mleta mada ndo anataka kujua zaidi. Investment yoyote inaweza kukutoa kwny umaskini,lakini...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

    Kweli mende hupenda sana mavi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa "HoJa" hii..Imani yangu kwa wabunge imeshuka

    Viroba!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana elimu hii anatafuta kazi

    Kwa nini asijiajiri kama procurement consultant mkuu?
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWA NINI SIJIAMINI mimi ni mtu pia, kwa nini sasa

    La kuongeza katika presentation jaribu kutafuta sura ya mtu unayemwamini,mtazame huyo usoni wakati unapresent,taratibu itakupa kujiamini.
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 14 WAYS TO TAKE CARE OF YOUR WOMAN-she will never leave you if you practise these!!

    Fairytale!
Back
Top Bottom