Dean
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 636
- 245
Hicho ndicho kitu nnachoshangaa mpaka saivi!Ina maana mtwara hawafai mpaka gesi iende dar(ila nia kuu ni bagamoyo)?Gesi itanufaisha watanzania wote said jk, kwa hiyo anataka ijenDar kwani Mtwara sio Tanzania?