Hehehe nimecheka sana na ww sura Kama prime minister mix with sultan masudi sura mbaya na umekomaa ukitema mate yanadunda Kama kitenesi.ndo maana unafanana na prime minister
lione kwanza mimacho kama mjusi kabanwa na mlango!!!Hebu muone Macho makubwa kama chura kakanyangwa na sungu sungu.
lione kwanza mimacho kama mjusi kabanwa na mlango!!!
Hebu muone Macho makubwa kama chura kakanyangwa na sungu sungu.
hahaha!kwenu mpo wengi hadi baba yenu akiamka asubuhi anawasalimia hamjambo watanzania.