Recent content by nwakamwaikambo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Mw.J.K.nyerere akifufuka wewe unafikiri atafanya nini!!

    Atakufa tena,kwa presh
  2. N

    JamiiForums Tanzania Pay stubs za mshahara wa Rais

    Hakuna utawala ulio dumu milele katika hii dunia,ipo siku tu ccm itatoka tu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Prof.Muhongo: Kusitishwa kwa MCC hakujaathiri Sekta ya Nishati

    Hao ndio watawala wetu wa nchi za kiafrika!!!wanapenda kuwaminisha watu pasipo kuwa na hoja ya msingi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Tatizo la wafanya biashala wanaingiza sukari iliyo expire...TBS wako wapi?maana ndio yenye mamlaka
  5. N

    JamiiForums Tanzania Beyonce na Jay Z watengeneza kiasi cha Bilioni 375 kwa kuwadanganya Mashabiki zao

    Wenzetu wako kazini,huwezi kulinganisha ulimwengu wa 1...na ulimwengu 3...sisi tuko gizani,hakuna tuanacho kijua zaidi ya kuiga kila kitu kutoka ulimwengu wa 1.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nape ajikanyaga DW kuhusu kufungia Mawio na kuzuia matangazo ya bunge live

    Kwa hyo wanafanya kitu,kwa kuangalia mfano wa nchi nyingine...hii hatare sna!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    Shetani mwenyewe si malaika,alie muasi mungu...so sijapata kujua hapo alikuwa anamanisha nn?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Serikali isitunyang'anye haki yetu ya kuona bunge live kisa hatuitumii kama inavyotaka

    Hoja yako haina mashiko,wala ushawishi wowote..swala la kuongea matusi bungeni haina maana kwamba ndio lisitishwe kuonyesha...ni swala la upofu walilo nalo wakoloni weusi ambao wanan'gan'gania kuonekana bola kumbe hkn wanachokijua zaidi ya unyanyasaji na upolaji wa haki za wanyonge...hili...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ya Kikwete Yamkumba Rais Magufuli

    Sasa ujenzi wa barabara unahusiano gani na pesa za shelehe ya uhulu,maana barabra ina bajeti yake
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

    Mbna wasanii wengi wa unyamwezini wanakamua kama alivyo imba jide,kama mna kumbukumbu nzuri,kuna mwimbo alimba jlo-love dont cost a thing...alimwimbia puffy dad...so kwa jay dee ndio inaonekana haifai
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Kwa mwenge ateweza kufanya chochote,coz hilo ndilo shart tulilopewa na mwingeleza...kwamba uwe unakimbizwa kila mwaka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

    Jay dee hatari sana huyu dada
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Nimeshindwa kumuelewa Rais Magufuli

    Hilo liko wazi,tulimsikia mheshimiwa akiongelea kusiana na hilo swala
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

    Kaka kwa tarifa yako,mwanamke agopi ukimwi anagopa mimba...mara nyingi utasikia anasema naogopa kupata mimba...lkn ukimwi uwezi kusikia akisema hicho kitu
  15. N

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Ivi huyu mtawala yy ni nn??maana omba omba wapo tangia enzi hizoo,mi nadhani atafute shughuli zingine za kufanya,ili swala la ombax2...litamfanya aonekane ana ufinyu wa kufikili
Back
Top Bottom