Recent content by NutrientAgar

  1. NutrientAgar

    Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

    Naunga hoja 100%
  2. NutrientAgar

    Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

    Naunga hoja 1000
  3. NutrientAgar

    Clinical Officer natafuta nafasi ya kazi

    Wewe clinical officer unatafuta kazi, mbona kazi huwa zinawatafuta au unachagua sana mkuu
  4. NutrientAgar

    Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

    That's why Anglican na Lutheran Church yalianzishwa
  5. NutrientAgar

    Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

    Mkuu unaonekana bahili ndio maana wanakukataa, sio rahisi 11 wote wakupige chini
  6. NutrientAgar

    Wizara ya elimu yaja na viwango vipya vya ufaulu kidato cha Nne.

    Wawe wanawaoneaga huruma na watoto wa wenzao jamani kha!
  7. NutrientAgar

    Nimeacha mazoezi baada ya kukutana na mwanamke wa ajabu

    Unamuachaje mrembo huyo, nielekeze nianze mazoezi na Mimi
  8. NutrientAgar

    Nimemtukana mganga wa kienyeji

    Msongo wa mawazo ya kukosa kazi bwana, kila unachoambiwa unaona unaonewa.ilitosha tu siku ya kwanza kumuambia mzee mimi siamini katika imani hiyo.kama ulivyotuambia hapa
  9. NutrientAgar

    Mliowahi kutapeliwa na kijana Kitomali wa Wazo, Dar nimemtia mbaroni

    Hivi jamani manunuzi ya kitu cha dhamani kama kiwanja kwanini msiwe mnahusisha maafisa ardhi kwanza 18m parefu, pole sana ndugu.
  10. NutrientAgar

    Mshahara wa afisa maendeleo ya jamii ngazi ya degree

    Mwambie lecturer wako awashauri kuhusu fursa za ujasiliamali pia zitokanazo na fani mnayosomea.mkijiaminisha kwenye mishahara hiyo halafu ukaja uraiani ukakosa kazi kitakachofuata.............
  11. NutrientAgar

    President Mobutu Sese Seko of Zaire

    Ulianza vizuri sana uzi wako, umekuja kuuharibu kwenye paragraph ya 6,ulipotia neno watanzania.hii ikaubadili uzi wako kuwa wa kichochezi tu
  12. NutrientAgar

    Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

    Jiwedogo, dr ndele na Matola nawaomba mnione tafadhali.
  13. NutrientAgar

    Tanga kwetu raha

    Wa kisosora mpo??
  14. NutrientAgar

    Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza

    Vingine haviachiki.
  15. NutrientAgar

    Sifa za wanaume warefu kuanzia futi 6 na kuendelea

    Unauhakika kama urefu ni blessing na sio uhai?
Back
Top Bottom