Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,365
- 7,609
Amin Amin nakuambia yawezekana hata hawa pichani ni vibamia waliotukuka!Pandisha picha Mkuu!!
Amin Amin nakuambia yawezekana hata hawa pichani ni vibamia waliotukuka!Pandisha picha Mkuu!!
Kwahiyo kikikua kitanyonya dyudyu yote mpaka ikwishe ikue nukta? ngoja nijitahidi kiondoke faster.Kinakua hicho mkuu wewe jipe moyo
Sikubaliani na wewe hapo kwenye namba moja...naungana na wewe! vipindi vingi sasa hivi vya TV vimeanza kukosa maadili, kama mamlaka husika haitochukua hatua zitasababisha mmomonyoko wa maadili kwa kiasi kikubwa! jana nilijiuliza maswali mengi sana
1. Je kama mtu unaangalia kile kipindi na familia yako halafu mtoto mdogo akauliza kibamia ni nini? au kwanini wamevaa bamia?
2. Pili najiuliza tu je Kuwa na maumbile madogo ni hali ambayo mtu anajitakia au ni sababu za kimaumbile tu? kimtizamo wangu hii hali inatokana na maumbile ya mtu, na haipaswi kuchukuliwa kimzaa hivi! kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa kama mwingine hauhitaji fufanyiwa mzaha kiasi hiki!
3. je hivi vituo vya luninga wanafanya uhakiki wa vipindi kabla havijarushwa hewani?
Kwa le mbebez kudate na msichana mdogo aliyemrekodi na kufanikiwa kuirusha video aliyoirekodi mtandaoni... HALAFU NA YEYE KUIKUBALIWakuu,hivi hiyo stor ya le super kibamia ilianzaje mpaka ikamwangukia super bebez..
Ha haha ha!!!na aliyerekodi hajakamatwa??.Kwa le mbebez kudate na msichana mdogo aliyemrekodi na kufanikiwa kuirusha video aliyoirekodi mtandaoni... HALAFU NA YEYE KUIKUBALI
hahaha mange atajamuua huyu mzeeKing of all vibamia social networks.
Tatizo hamuelewi . Le mutuz ye mwenyewe hajui kama ana kibamia ndio maana anabadili nguo mbele ya changu. Kwanini hajui ni kwa sababu hawezi kuona u bo o wake mana tumbo ni kubwa sana. Akijichungulia anaona tumbo. Sa inawezekana yeye hizi taarifa hana mpaka alipopigwa picha ndo akajiona
Ni kati ya Vipindi Pendwa sana Clouds TvWale nao sijui hawana kazi ingine umbea waufanyao sijui faida yake ni nini