Recent content by Nurdin Muhochi

  1. Nurdin Muhochi

    Die empty

    Vipi mkuu mada ya Munga Tehenan bado kutoka?
  2. Nurdin Muhochi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo msimamo wa mwalimu Nyerere ulioimbwa na king kiki akiwa na orchestra safari sound.Nimeutafuta sana bila mafanikio.
  3. Nurdin Muhochi

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Huu uzi bendi zetu hizi haupo kweli telegram?Kama vipi ingekuwepo huko telegram ili wenye Nyimbo hizo wazitupie tunufaike wote.
  4. Nurdin Muhochi

    Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    Mimi nilkuwa na gb na original whatsapp nikapigwa ban.Nikafuta zote.Nika install whatsapp x inafanana sana na original whatsapp nikaona haifai nikaifuta nikachukua yowhatsapp napeta nayo sasa zaidi ya mwezi ni nzuri Sana ila gb ni nzuri kuliko zote.
  5. Nurdin Muhochi

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Hapa mwalimu tunaomba ufafanuzi zaidi kinyota kwa watu waliozaliwa usiku na hawajui saa ya kuzaliwa.
  6. Nurdin Muhochi

    Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

    Wengi wameshindwa kuroot techno spark 2 hata kwa kutumia pc. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Nurdin Muhochi

    Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

    Wale wa tecno spark 2 tunatumia app gani kuroot? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nurdin Muhochi

    Aboud Jumbe Mwinyi

    Aliekuwa Rais wa Zanzibar,kwa yeyote mwenye kujua maisha yake ya kisiasa (the rise and fall)ya huyu mzee alietangulia mbele ya haki atujuze .
  9. Nurdin Muhochi

    Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

    Vipi kuhusu wanaotumia tecno spark 2 tunaroot vipi?
  10. Nurdin Muhochi

    Kama ulishawahi kunywa chai ya kuunguza Sukari tukutane hapa

    Nimeitumia Sana enzi naishi kijinini na bibi yetu.Ila mpaka Leo siku mojamoja nakumbushia.
  11. Nurdin Muhochi

    Ku-root tecno spark 2

    Naomba msaada jinsi ya ku-root simu ya tecno spark 2 bila kutumia computer.
  12. Nurdin Muhochi

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    R.I.P
Back
Top Bottom