ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,569
Points
1,250

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,569 1,250

Attachments:

Popomtata

Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
62
Points
95

Popomtata

Member
Joined Dec 20, 2011
62 95
Jamani mimi binafsi naombeni mwenye wimbo wa Edina by Magereza Jazz afanye kuutuma kwa njia yoyote anayoona itafaa, kama link tuma, kama utaweza kuattach hapa sawa kama utanitumia kwa email basi tuma hapa mwalusasi@gmail.com Mpaka nafikia kuuomba kwenu huu wimbo ni kwa sababu ninaupenda mno pili nimeutafuta mara zote kwa Internet lakini bado nimeukosa! Inaniuma tafadhari nisaidieni!!
 

Forum statistics

Threads 1,343,327
Members 515,022
Posts 32,780,846
Top