osc michael
Member
- Sep 10, 2017
- 57
- 99
Mi natumia samsung j7 pro, nitumie app gani kuroot, ( procedures yake tafadhali naomba)
Tumia pcMi natumia samsung j7 pro, nitumie app gani kuroot, ( procedures yake tafadhali naomba)
Infinix hot 6 jeHi,
Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga au apps walizotumia haziendani na simu zao yaani namaanisha mfano kingoroot apk haijawah kuroot tecno w4. Hivyo leo nmeandaa baadhi ya apps ambazo zitasaidia.
Iroot_inatumika sana kwa simu za HTC na samsung.
Kingroot & kingoroot kwa baadhi ya simu nyingi za samsung na tecno ila kumbuka kudonwnlod new version.
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot, Srs root, Z4root, Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,
Kama sijaeleweka tuulizane hapa hapa jukwaani na naamini wataalam zaidi tutasaidiana kutumbua majipu ya unrooting phones. Ningependa niseme hivi "Kwa sasa wapenda games bila kuroot simu hatuwezi"
Nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
yeah IPO rootedView attachment 899523 hata sijui ndo ipo rooted na hata matumizi ya sim ambayo imerootiwa sijui😂😂
Kwanni uroot bila sababu sasa?View attachment 899523 hata sijui ndo ipo rooted na hata matumizi ya sim ambayo imerootiwa sijui[emoji23][emoji23]
Tumia pc.
haya mambo nliishàacha,, baada kuambiwa kuwa your phone is strong
Hi,
Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga au apps walizotumia haziendani na simu zao yaani namaanisha mfano kingoroot apk haijawah kuroot tecno w4. Hivyo leo nmeandaa baadhi ya apps ambazo zitasaidia.
Iroot_inatumika sana kwa simu za HTC na samsung.
Kingroot & kingoroot kwa baadhi ya simu nyingi za samsung na tecno ila kumbuka kudonwnlod new version.
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot, Srs root, Z4root, Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,
Kama sijaeleweka tuulizane hapa hapa jukwaani na naamini wataalam zaidi tutasaidiana kutumbua majipu ya unrooting phones. Ningependa niseme hivi "Kwa sasa wapenda games bila kuroot simu hatuwezi"
Nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
msaada bro kuroot tecno spark 2 maana kingroot imegoma.... msaada tafdhali.Hi,

Umekwama wapi mkuu?