Recent content by Ntemiataliga

  1. N

    G.P.A ya mbunge David Silinde

    Kama bado unaamini kwny vyeti utakuwa umepitwa na wakati.
  2. N

    Kuelekea 2020: Edward Lowassa, aanza Kuimarisha CHADEMA kuanzia chini

    Umemchoka wewe peke ako, nenda kajiunge na hayo ambayo hujayachoka
  3. N

    Traffic mkoani Arusha wananisumbua

    Ukiona hivyo kuwa hawana risit jua umeibiwa mkuu
  4. N

    Magufuli: DPP aliichezea kesi ya ''samaki wa Magufuli''

    Jamani hbr, naomba tujuzane kwa wanasheria wanaojua vzr taratibu za kodi inayotakiwa kukatwa kwa mfanyakzi tunaofanya kazi hasa kwny mashrika binafsi ambayo kwa hapa tz yapo chini ya wizara husika, maana sisi huku tunakatwa kodi hadi laki 5 kwa mishahara inayofikia hadi 2m hizi scale za kodi...
  5. N

    Rais Magufuli, kuwapunguzia mshahara walio juu ili uwaongezee wa chini ni sawa, lakini...

    Bora kabisa,uchumi wowote wa nchi yoyote ukiyumba serikali ina mamlaka ya kukata matumizi na kukata matumizi ni pamoja na kupunguza mishahara ya watumishi na kupunguza watumisi wasio na umhimu mkubwa serikalini. So magu yuko sahihi kabisa na wala hakuna sheria juu ya hilo.
  6. N

    Dr. Dau bado anatumia magari ya NSSF

    Tumeshazoea haya maana magari ya serkali yanatumika hata muda ambao si wa kazi, utaona stk au stl mida ya saa 5 usiku limepakiwa bar ambapo muda huwa ni saa 12jioni, huyo dau nae ni hvohvo tu.
  7. N

    Ofisi ya Rais anatumia fedha ya Serikali pasipoidhinishwa na Bunge. Katiba inasemaje?

    Humu jamiibkuna watu sijui waliingiaje mtu anapinga kuwa na budget et ndo inachelewesha maendeleo, inamaana kwakuwa tunataka maendeleo ndo tusijipangie duh hili nalo jipu humu.
  8. N

    Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

    Utatabiri sana mpaka mwisho wa maisha yako, na baadae utakuwa mtabiri wa mvua. Haahahaaa
  9. N

    Kwa hotuba ya jana Lowassa ni mzalendo, kama ni jipu mwambieni Mh. Magufuli alitumbue

    Binadamu tumeumbwa kiajabu sana, kuna makabila fulani mtoto akikua na kutaka ajitegemeee mwenyw anaambiwa na wazazi wake kabisa kuwa hawezi na kama anavijisent kidogo anaambiwa vinamsubua, na ndo vilevile hata El nae walimwambia fisadi sasa katika siku zote Magu alipoingia madarakani hadi leo...
  10. N

    Nataka kuonana na Jecha

    Unataka kupigwa mabomu ya machozi, jecha analindwa balaa yaani hata mia mia humkaribii ..:):):)
  11. N

    Waziri wa Maji atua DAWASCO; Awafuta kazi mameneja 9 akiwemo Mkurugenzi Mstaafu

    Wacha waisome namba eee ccm mbele kwa mbele.
  12. N

    Hawa ndiyo Wazungu bhana, Unafiki mpka kwenye mifupa!

    Uzi wako umejaaa unafiki, uzidaki, na ufala, badala ya kutoa mada umeaanza na ujinga.
  13. N

    Mawaziri wawili wapewa kibali cha kusafiri na Rais Magufuli

    Wanasiasa wanatakiwa waende na wataaalamu badala ya wao kwenda peke yao wataishia kutudanganya tu.
  14. N

    Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Na Muombea Mungu aifanye kazi yake kwa amani, kweli inauma sana more than 1000 workers ni hewa nchi hii kweli ilikuwa shamba sio la bibi tu ni zaidi ya bbi.
  15. N

    January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima

    Mkuu akifukuzwa uje unichukue na mimi tuanza safar, maana anasema awamu ya kikwete ilikuwa ya kuleana ambapo hata yy ni tunda la kuleana!. Hatar
Back
Top Bottom