Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Donald Trump!
Sasa upepo umegeuka kuna kila dalili kwamba Trump anakwenda kushinda Uraisi kwani Hilary Clinton yuko hoi na Myahudi Sanders pia ana hali mbaya wakati Trump akikata mbuga, sasa hapa ndipo unafiki wa Wazungu unapoanza kuonekena media zile zile zilizokuwa zinamtukna na kumkebehi zimeshaanza kumuandika positive, utani na kejeli za kijinga zimeisha, naam Donald Trump hakamatiki tena,
Hili ni fundisho kwa wana chadema chini ya fisadi Lowasa Watanzania wanajua na wanaona kwamba Raisi Magufuli anayofanya ni sahihi na ya lazima hivyo kumtukana na kumkebehi kwenu kunazidi kuwajengea uwadui dhidi ya WatanZania kwani watawachoka na kuanza kujiuliza hata lengo lenu ni lipi hasa na mwisho watakapowageukia na kuanza kumkingia kifua Raisi Magufuli na hapo ndipo mauti yenu kisiasa yatakapo wadia!!