Dr. Dau bado anatumia magari ya NSSF

celinawetu

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
1,330
1,059
Wandugu,

Leo nimemuona Dau akiwa na gari ya NSSF.Je, bado anahudumu NSSF?

Ikumbukwe kuwa baada ya kutumbuliwa alokuwa wanaenda ofisini na ku approve baadhi ya mambo hadi alivyopigwa stop na approval zote kuwa null and void.
 
Tumeshazoea haya maana magari ya serkali yanatumika hata muda ambao si wa kazi, utaona stk au stl mida ya saa 5 usiku limepakiwa bar ambapo muda huwa ni saa 12jioni, huyo dau nae ni hvohvo tu.
 
kwa maisha tuliyonayo kwa sasa ushahidi wa picha ni muhimu sana,ungeset picha watu waone hiyo stl ya dau
 
Kapicha kangenogesha hii habari..

Ila ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja kamwe hautaweza. Unacheza na ujiko wa "DG huyo anakuja"
 
Huyu Dr.Dau yaani ni king'ang'aniz kweli kweli... Yaani nimesikia hata access ya milango na systems kama email za Nssf bado anazo yaani bado ana access ktk system zote pale.... JPM hebu mpe nchi huyu mtu aondoke hapa nchini...
 
Acha utani bana wezi nchi yao ni magereza,ila matusi no
 
Rekebisha "heading " sema Mh. Balozi Dr. Ramadhani Dau ameonekana kwenye gari lisilo na hadhi yake la NSSF.
 
Back
Top Bottom