sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 652
Wakuu,
Nina wiki ya pili sasa nimelipia Sumatra, ila nikipeleka document zangu polisi ya mjini Arusha ili kulipia naambiwa nisubiri hakuna kitabu cha Risiti sijui mimi inanihusu nini wakati traffic wanaendelea kunisumbua barabarani, haya nimeomba wanipe angalau kikaratasi chochote ili nisisumbuliwe wananiambia hawana utaratibu huo.
Kwa mlioko Arusha ukipigwa notification ukilipa dai Risiti hawana