Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 67,951
- 162,144
wakuu najua wengi mmelala, mtakapoamka mnisaidie namna ya kuonana na Jecha.
Huyu mtu amenisababisha niache kufuatilia siasa za nchi yangu, na sio hivyo tu
bali amenifanya niamini ule msemo usemao kuwa ccm itatawala milele.
Nilipokumbuka msemo huo usingizi wangu umepaa na sijui kama ntaweza tena kulala. Moyoni mwangu ninaichukia sana ccm japo jpm anajaribu kuniaminisha kuwa katikati ya vibovu waweza kuokota cha thamani, pamoja hilo bado cna imani na ccm wala mwana ccm.
nia na madhumuni yangu ya kutaka kuonana na Jecha ni kutaka nimuulize maswali 3 yanayonisumbua.
Hivyo wadau nisaidieni mawasiliano ya Jecha na nikifanikiwa nitaleta mrejesho kwenu.
wenu Quigley (mpambanaji)