Recent content by NTAKILUTA NDATO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Afande Sele na Sheikh Nurdin Kishki nani kakosea?

    Ahsante sana..Umenifungua mimi pia kifikra maana nilishamwona shehe nurdin kama kakosea ila kwa post hiyo na majibu yako shehe nurdin Yuko sahihi kwa sababu hapo aliyetukanwa siyo Mungu tu wote tulitukanwa hadharani hivyo kumwombea mabaya afande sele hadharani siyo vibaya.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    1.. So lucky boy baby so lucky boy..sauti ya mwanadada hapo inaimba mwenye nao naomba anitumie hapa au wasap 0684610933
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Ok Sister, Naomba Tukutane Facebook Kwanza, Nitafute ODO GIBUSON NTALAMUKE.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Dah Voda bwana ni mtandao wangu toka zamani naupenda, kasi yake hata umaarufu wake mkoani ninakotokea. ila nimejikuta sithamini kama mwanzo baada ya kukutana na tigo hapa mjini dar chanzo kikubwa mimi kudharau voda ni huduma mbovu za wa hudumu, uhaba wa ofisi zenye huduma zote japo mpaka sasa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke Wa Kuishi Naye

    Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi. Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya Kuhaso Kila Asubuhi Kutafuta Riziki. Nimepanga Mwenyewe Mjini/ Dar, Umri Wangu Miaka 24. Asili Yangu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

    Ahsante Water Bearer Kwa Maneno Yako. Kwamba "MAAMUZI" Kama Silaha Ya Maisha Na Wahenga Husema "Penye Nia Pana Njia"... Nikurejeshe Kidogo: Umesema Ukitaka Kupata Pesa Kiasi Fulani.. Ni Maamuzi. Ukitaka Kuishi Maisha Ya Juu Kiasi Gani Ni Maamuzi... Nikupe Wewe Hongera Kwa Kufika Hapo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu wa mawazo au ushauri.

    Dah!, Hongera Kwa Hatua Uliyofikia. Mimi Ninachoamini Ni Kwamba Kila Biashara Ni Nzuri Ili Mradi Haikuhatarishi, Pia Kila Biashara Inalipa, Na Kila Biashara Ina Mapungufu Yake Ila Si Kwa Kila Mtu Biashara Moja/ya mkumbo Kufanikiwa. Mimi NaKushauri, Rejea Na Utumie Uzoefu Wako Pekee.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Ndugu Tape Measure Ahsante Kwa Kunipa Uzoefu Wako. Kwa Upande Wangu Suala La Kurudisha Liko Juu Ya Mtu Ama Taasisi Itakayojitole. Kazi Yangu Ni Kupima Uzoefu Na Ufanisi Wangu Halafu Naweza Kukubali Ama Kukataa Mchango Huo. Wazo Tu Bila Vitendea Kazi Na Vitendo Utawaza Mpaka Utazeeka Hujafikia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Ndugu Isanga, Endapo Ningepata Mkopo Itategemeana Ni Kiasi Gani Ndipo Nitakapoamua Mwenyewe Mahali Ama Biashara Itakayoendana Kama Kuboresha Kabiashara Kangu Kadogo Kakutembeza Mifuko Au Kufungua Duka La Kiwango Ninacho Hitaji. Mimi Nipo Dar Es Salaam.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Naam!, Hivyo Tu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Ndugu Wana JF, Nimejitokeza Kuomba Ushauri Na Msaada Wenu. Mimi Ni Mjasiriamali Mdogo Ambaye Nimejaribu Sana Kwa Kutafuta Na Kuomba Mtaji Lakini Sijapata Mwanga Ninaohitaji. Naomba Mnisaidie Namna Rahisi Ya Kupata Mkopo Ukizingatia Sina Mali Wala Mdhamini Kunidhamini Katika Jambo Ninalohitaji...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea taarifa ya maafa Kagera. Museveni achangia Tshs 437,000,000 kwa wahanga

    Dah, Mimi Nawapongeza Wote Wanafanikiwa Kuchangia Maafa Hayo. Na Kwa Huyo Raisi Wa Kenya Dah Ana Utu Wa Pekee Sana Juu Ya Tanzania Maana Sijawahi Kusikia Waafrika Wakisaidiana Pesa Zaidi Ya Maneno Na Majeshi. Namwomba Tu Mheshimiwa Rais, Magufuli Aoneshe Kujali Walio Wake Akimpiku Huyo Raisi Wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tufungulie Baraba, Yesu asulubiwe!

    Aise Unakosea Kuifananisha Kazi Ya Masihi Yesu Na Hawa Wachumia Tumbo Wanasiasa, Jinsi Gani!, Kazi Ya Yesu Imebeba Karama Ya Neema Kwa Wanadamu Waovu Na Wema; Kuna Ukamilifu Ndani Ya Yesu Kuokoa Kabisa Kwa Kila Mtu Aaminiye Yoh.3:16. Yesu Ni Tumaini La Milele. Yesu Alikuwa Afe Kwa Faida Yetu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kanuni moja mpya ya kuoana

    Huo Ni Ushauri Bora!! Ahsante Sana Mleta Mada.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

    Aise! Naomba Nikatae Kauli Za Mleta Mada Kwanza: Hakuna Mtu Anayeweza Kujioa. Pili Naomba Nimpongeze Huyo Bidada, Ana Akili, Ana Mahesabu, Ana Mapenzi Ya Kweli, Anajua Kuyathamanisha Maisha Yake Pamoja Na Maisha Ya Mpenzi Wake Kabwera. Tatu, Naomba Nimpe Pole Kwa Kukimbiwa Japo Amediriki...
Back
Top Bottom