Kanuni moja mpya ya kuoana

Kanuni moja mpya ya kuoana

Aiseee mbona mimi masikini jeurii... simtetemekei mtu wala simuabudu kbsaa... My life my role love me or reject me its fine.
 
Mkuu unakuta binti kwao hata stuli hawana ila anapenda makuu sana anapenda aonekane yeye ndio yeye.mtu anataka iphone 6 ambayo kama ukimpa hiyo hela anaweza lima na kupata zaidi ya hiyo 1.2mil....
Watoto wa masikini shida sana

daaah nmekulavu ghafla root,kiukwel hao watoto wa masikini ndo wana nyodo balaa,nishawahi kua na demu eti hali ugali wakati kwao anautandika vizuri tu
 
daaah nmekulavu ghafla root,kiukwel hao watoto wa masikini ndo wana nyodo balaa,nishawahi kua na demu eti hali ugali wakati kwao anautandika vizuri tu

Hao usiwaguse wanajiona matawi na wengi wao hawataki uende kwao... maisha ya juuu ili tu wakuchune
 
Kuna ukweli kabisa kwenye mada yako kwasababu nilipokuwa Arosto mademu walinikimbia leo nimezinyaka wananisogelea.
 
Kuwa mkweli utampata atakayekupenda kweli , kama huna kitu usifake maisha utampata atakayekubaliana na hali yako pia na ukiwa na vitu kuwa makini sana kwani ni wengi watakao kukimbilia .
 
Na mimi nawashauri wanawake wawakubali wanaume nakuwaonesha kuwa wapo katka hali hii

kichwani uwe umesuka twende kilion na usibond ma leswig ama rasta zozote.

Usijchoreshe kama unakazi ya kudumu / maana,, weng wao ck hz wanatafuta wenye kazi tu,.

Usithubuu kujielezea elimu yako jiweke wa kati sana ata kama una masters.
 
Si ushauri tu umetolewa tena kwa wasiooa sasa wewe mpendwa kimekukera nini tena

Nimekereka kwa sababu........kwa nini pesa iwe tatizo.....?.....Kwani ukimpa mwenzio pesa kuna ubaya gani........?........
 
Nimekereka kwa sababu........kwa nini pesa iwe tatizo.....?.....Kwani ukimpa mwenzio pesa kuna ubaya gani........?........

kwani usipopewa kuna ubaya gani?
na kama kweli pesa ndio mapenzi, kwann ke asitoe hela na yeye! au mapenzi ni kwa upande m1 tuu?
 
Back
Top Bottom