Tufungulie Baraba, Yesu asulubiwe!

Tufungulie Baraba, Yesu asulubiwe!

Namane

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
63
Reaction score
16
Mmmh!

Mtu huyu tulimjua ni mwema, tulipongeza kazi zake na kila mtu anaziona. Ajabu anapoomba kututumikia kwa nafasi ya juu, watu wanatafuta watuhumiwa, wanajitahidi kuwasafisha, wanamtukana waliyempenda, ili tu uongozi wa nchi wachukue wao, watu tusiojua kabisa utendaji wao.

Uchaguzi siku zote hufanyika baada ya kufikiti sana, si kwa ushabiki na mkumbo. FIKIRI SANA KABLA YA KUCHAGUA, usije ukaambulia kisichofaa.
 
Aise Unakosea Kuifananisha Kazi Ya Masihi Yesu Na Hawa Wachumia Tumbo Wanasiasa, Jinsi Gani!,
Kazi Ya Yesu Imebeba Karama Ya Neema Kwa Wanadamu Waovu Na Wema; Kuna Ukamilifu Ndani Ya Yesu Kuokoa Kabisa Kwa Kila Mtu Aaminiye Yoh.3:16. Yesu Ni Tumaini La Milele. Yesu Alikuwa Afe Kwa Faida Yetu Wadhambi.

Mwanadamu Nani Wa Kumlingana Yesu?, Mleta Mada Jaribu Kuwa Makini Majina Matakatifu Hayatajwi Bure Mbele Ya Waharibikao Na Viharibikavyo Vya Dunia!.
 
Back
Top Bottom