Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

Jun 19, 2015
25
4
Ndugu Wana JF,

Nimejitokeza Kuomba Ushauri Na Msaada Wenu.

Mimi Ni Mjasiriamali Mdogo Ambaye Nimejaribu Sana Kwa Kutafuta Na Kuomba Mtaji Lakini Sijapata Mwanga Ninaohitaji.

Naomba Mnisaidie Namna Rahisi Ya Kupata Mkopo Ukizingatia Sina Mali Wala Mdhamini Kunidhamini Katika Jambo Ninalohitaji Zaidi Ya Ubunifu Wangu Na Macho Ya Aamuaye Kuwa Karibu Yangu.

NAOMBA USHAURI NA MSAADA WENU.

Mawasiliano 0714687581

Ahsanteni.
 
Ndato unataka mkopo wa kufanyia shughuli gani na pia wa unachotaka kufanya pia na upo mkoa gani ili iwe rahisi jwa atakaeguswa kukusaidia..,
 
Kwa maelezo yako ni ngumu ata kwa mchungaji kuguswa kwa unachotaka kufanya.

Jiandae ukiwa vizuri urudi tena,
Eleza unahitaji mkopo kiasi gani na utarudisha kwa mpango UPI.

Wazamini wako pindi biashara ikiyumba.
Hatua ulizopitia kutafuta mkopo kabla, je ndio unaanza ama tayari unabiashara unahitaji kuikuza.
Mkopeshaji anapaswa kujiridhisha kama una uelewa wa kutosha na kile unachohitaji kufanya, ili aweze Kutoa fedha zake kwako.

Mjasiriamali mdogo hahitaji mtaji wazo lake ni mtaji tosha
 
Ndugu Isanga, Endapo Ningepata Mkopo Itategemeana Ni Kiasi Gani Ndipo Nitakapoamua Mwenyewe Mahali Ama Biashara Itakayoendana Kama Kuboresha Kabiashara Kangu Kadogo Kakutembeza Mifuko Au Kufungua Duka La Kiwango Ninacho Hitaji.
Mimi Nipo Dar Es Salaam.
 
Ndugu Tape Measure Ahsante Kwa Kunipa Uzoefu Wako. Kwa Upande Wangu Suala La Kurudisha Liko Juu Ya Mtu Ama Taasisi Itakayojitole. Kazi Yangu Ni Kupima Uzoefu Na Ufanisi Wangu Halafu Naweza Kukubali Ama Kukataa Mchango Huo.

Wazo Tu Bila Vitendea Kazi Na Vitendo Utawaza Mpaka Utazeeka Hujafikia Malengo.

Ahsante Sana.
 
Back
Top Bottom