Nimesikia furaha sana kujitokeza kwa Ridhiwani Watanzania tunaka mtu kama Ridhiwani kasema ukweli kama kunaushahidi, wajitokeze kama kweli si majungu nakupongeza sana Ridhiwani
Hata tukiwa na katiba nzuri sana hapa kwetu ufanisi utajitokeza watu wakisimamiwa na watendaji kwa ukali ndiyo dawa ya maendeleo katiba nimandiko yanayotakiwa baada yakuonyesha njia wapi tunataka kwenda, Jenerali ulimwengu yuko sahihi lakini wapi palipo na mafanikio third word kwa kufwata...
Msaada wanaturingia nao nisawa na kila Mtanzania akitoka 19000 tu, sisi wenyewe tu nauwezo wakuchangia maendeleo kama tukiweka utaratibu mzuri, hakuna sababu kuomba omba tunachangia harusi kwanini tusifunge mkanda ifunguliwe akaunti ya maendeleo watanzania wengi watachangia naiwe chini ya ofisi...
Itakuwa busara tukiombea mafanikiwa kwa mawaziri alio wateua tusiwaze vibaya, tuwe namatumaini na wateule walioteuliwa wao si malaika yakitokea makosa yawe ya mahati kama ajali kazini wakati wote tuwepamoja nao natuwaombee wafanye vema kazi walizopewa kwa manufaa ya Watanzania, kuvunja Baraza...
Kwanini Nehemia azungumzwi sana tunasahau histori ya shirika lilikuwa limekwisha kabisa sidhani kama tutakuwa wakweli tusipokuwa tayari kuona mchango wa Nehemia kwa shirika au lazima wachambuzi wa wa mambo watakuwa tayari kukumbuka wapi tumetoka? Tusimwandike kwa chuki binafsi tuwe wakweli...
Nionavyo mimi kunahaja shughuli zote za kutoa mizigo bandarini pamoja na kushughulikia mizigo ya bandarini serikali iunde mamlaka ya kufanya kazi hizo,bandari yetu iwe chini ya mamlaka rais mwenyewe ndiyo chanzo kikubwa cha mapato
Ndugu yangu tuanzie kwenye familia zetu, nijambo la aibu vijana wetu hawako tayari kujadili mambo kwa umakini, kila maada ya maana wanatukana matusi, Dr Slaa kafungua mjadala vijana jitahidi kufwatilia acha ushabiki, kaweka wazi mambo muhimu sana, rushwa ni adui mkubwa sana kwa kiongozi
Magufuli anakazi ya pekee a napambana na maboss wake wawili ambao wote alikuwa chini yao vijana geuza mioyo yenu msaidie huyu bwana mdogo Magufuli,wote wawili walikuwa watendaji wakubwa kwake leo wamekeuka wakidai mabadiliko, hili ni jambo muhimu kuliangalie isije ikawa Ukawa kisingizio cha...
Uchambuzi wako unahitaji watu makini kukuelewa asiye makini shida sana kukuelewa, kaka umenena ukanda kwenye sura ya uchaguzi ni kitu cha muhimu sana kuangalia na Ukawa,watu wa ukanda ule jichanganye kidogo watu watawaamini, someni upepo CCM watawaangusha kwa hilo
Jamani leo ni jumapili kanisa la kiinjili la kilutheri lisihusishwe na siasa, kazi yetu waumini nikuombea uchaguzi, chonde chonde Walutherani tumuombe Mungu uchaguzi upite salama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.