Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania, katika kipindi cha uchambuzi wa magazeti saa 6:30 RFA walikua hawasomi magazeti haya.
Tanzania daima
Mwananchi
Mtanzania
Baada ya kampeni kuisha wanayasoma..
Swali langu ni HILI walikua wanaogopa NINI?
Acha uongo, hii radio umeanza kuisikiliza leo