Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
We ni mlutheran?
Last edited by a moderator:
Toka lini CCM kipindi cha kampeni hawakutumika marais wastafu kwenye kampeni za uchaguzi mkuu? Ndio utaratibu wao
Walijifungia ndani walipotoka wakatoka na Majina 5 yao, hawakuchaguliwa bali waliwachagua wakiwamo Fisadi Mkapa, Mwinyi, Fisadi Kikwete pamoja na muuza meno ya Tembo Haramia Kinana
HAKUNA NAMNA,WATANZANIA WAMEICHOKA CCM. wamechoshwa na wizi wao wa mali za umma na ahadi za uongo kwa vijana,wakulima,waalimu n.k
Umeichoka CCM kwa wizi na Ufisadi lkn mmehamishia hao mafisadi mliokuwa mkiwasema kwenye chama chenu mbona hamueleweki kwanini mchukuwe mafisadi km nyinyi sy mafisadi
Umensahau fisadi mkuu wa ESCROW? je Chenge,Tibaijuka na Ngeleja,mbona mnawakumbatia?
hawakuiba kama waliiba wapereken mahakaman si ndo sera zenu wakija kwenu oooo walisingiziwa oooo mwenye ushahidi aende mahakaman ,oooo chenge ngereja ivi ninyi mbona mnajitaabisha mkiperekwa kulia kushoto nanyuma mnakubal tu
CCM IMEJAA WEZI WA MALI ZA UMMA,Watanzania hatudanganyiki tenaaa...sawaaa...sitawaaangushaaaa upooo,Alinselemaaaa....KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
Vipi fisi nao watakuwepo?
ndo mana nikasema hujitambui unafata upepo walioitwa fisadi wakija kwenu wamesafika nyie hekalu kwani
Hujitambui wewe unayehongwa elfu 7 ya Nape,na kusahau shida za watanzania wenzako,CCM NI WEZI KWA MIAKA ZAIDI YA 50,HATUWATAKI TENA WEZI.
naona unakosa hoja nakuuliza ikiwa sera ya upinzan ilikuwa nikupinga ufisadi na kupambana nawatu wanaoifilisi nchi yetu akiwemo lowasa leo unabadil sera eti shida ni system na kuwa alikuwa fisadi na mfilis wa taifa letu jana leo amehsmia kwenu eti tayar kawa msafi nyie damu yayesu?kama nikuhongwa nyie ndio mumenunuliwa najamaa kwa ten bilion ili awe mgombea na ndo mana wanaojitambua kama slaaa na lipumba wameenda pemben
NASEMA HIVII: CCM NI WEZI WA KUPINDUKIA KWA ZAIDI YA MIAKA 50,hakuna utakachowadanganya Watanzania tena,bakini na ahadi zenu hewa..KURA YETU NI KWA LOWASSA NA WAGOMBEA WA UKAWA.
Hv hao akına Mkapa na Mwinyi si ndio waliomptisha Magufuli?Na je sı wana CCM?Nanyı waıtenı Mteı na Ndesa pesa.
View attachment 279025
Kama hakuna Zoo watakayoileta mimi siendi kwenye mkutano. Mwinyi kaharibu Uchumi wetu, Mkapa ameuza viwanda vyote, migodi na bank zetu, Kikwete ameifilisi nchi ameiba rasilimali zetu na kuwauzia wachina na Mabwana zake wengine anayewajua yeye mwenyewe. Kinana ana maliza Tembo wetu.
naona unakosa hoja nakuuliza ikiwa sera ya upinzan ilikuwa nikupinga ufisadi na kupambana nawatu wanaoifilisi nchi yetu akiwemo lowasa leo unabadil sera eti shida ni system na kuwa alikuwa fisadi na mfilis wa taifa letu jana leo amehsmia kwenu eti tayar kawa msafi nyie damu yayesu?kama nikuhongwa nyie ndio mumenunuliwa najamaa kwa ten bilion ili awe mgombea na ndo mana wanaojitambua kama slaaa na lipumba wameenda pemben
Afadhali yako wewe nyumbu umepata ujasiri wa kutamka neno fisadi..Mbowe na viiongozi wa chadema sijawasikia wakitaja neno fisadi kama mwezi sasa