Recent content by Nsombasy

  1. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Ndio. Unachagua unayoweza deposit na % ya profit inaonekana pale kwenye chaguo lako kama ni 40% au lah ya kile unacho deposit.
  2. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu hongera sana. Kila la kheri katika majukumu yako.
  3. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    My Profile. Job seeker/ Internship. Profession:- Wildlife Management (Uhifadhi/ Usimamizi Wanyamapori). Experience:- 3+ years. Education Level:- Bachelor Degree. Current Location:- Simiyu. Gender:- Male. Age:- 31 years. Driving skill with a possession of a valid Class D driver...
  4. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongereni sana wote mlioona majina yenu kwenye pdf ya jana. Mmojawapo ni madam ambaye tulisoma Chuo kimoja ingawa yeye alikuwa chini yangu. Kibinadamu mapigo ya moyo yalienda mbio baada ya kutoona jina langu na nikasema "hatimaye nainua mikono juu kuashiria safari yangu ya ajira kupitia PSRS...
  5. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Amen. [emoji1431][emoji1431]
  6. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Bado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa...
  7. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa mkuu. Siku ikitokea nimeona jina langu kwenye pdf, nitakuchukua unipeleke na Bajaji yako hapo PSRS.
  8. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu, asante sana. Nimekuelewa vema. Umenikumbusha jambo. Kuna jamaa tulisoma wote Chuo kimoja, Mwaka mmoja wa masomo lakini Kozi tofauti (Yeye Kozi X, mimi Kozi Y). Huyu jamaa alikuja akapangiwa kituo cha kazi halmashauri flani kama Afisa Y (zingatia alisoma Kozi X na angeitwa kama Afisa X...
  9. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana mkuu. I got you.
  10. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu, ninaomba kuelewa kuhusu hili. Halmashauri ya Wilaya X ni miongoni mwa Halmashauri za Wilaya zilizopewa vibali vya kuajiri Afisa Y (hili nalifahamu sio story ya kufikirika). Lakini mpaka PDF ya jana ni Halmashauri ya Wilaya X pekee bado haijapangiwa huyo Afisa Y (nasema hivo kwa sababu...
  11. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongereni sana wote mliona majina yenu kwenye PDF. Kila la kheri katika Utumishi wenu. Kada yangu sasa amebaki mtu mmoja tu wafikie idadi waliotangaza Serikali. Ni ukweli usiopingika kwamba inakatisha tamaa. Na mpaka zije zitangazwe tena kwenye hii Kada yetu ni Mungu pekee anajua.
  12. Nsombasy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna baadhi wanaweza wasielewe hiki ulichoandika. Ila kwa tunaopitia hii situation Mungu pekee ndio anajua.
Back
Top Bottom