Recent content by Nshomba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi humu eti wanaume mpo serious?

    Binafsi MTU akiniambia yuko mkoa tofauti na ninaoishi hamu ya kuwa naye inakata maana najua hatutafika mbali. So ni heri nikapotezea kuliko kupotezeana muda... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume Mkristu

    Nina 33 miaka ifikapo mwez wa 6. Kikazi nipo shinyanga kishapu. Nina mtoto 1 ila sijawahi oa. Ni Mkristu tena mkatoliki. Mengine tutajuzana... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ntafurahi sana kama ancelot akipewa kazi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kanjibai anazingua...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unai aende tu aisee
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Nipo hapa..
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wakaka mnaopiga chabo mnapataga faida gani?

    Wasukuma wanapenda sana huo mchezo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae kwenye hii sayari ya Dunia katika nyanja ya Soka hakuna kama Pele wa Brazil

    Huu mchezo cheza kama pele ulitikea wap??
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je solar panel ya 100watts unaweza kutumia vifaa gani?

    Nitakutafuta kaka unisaidie kujua nitatumia sola yenye ukubwa gani itayoweza kusukuma freezer kwa masaa 8...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Simu yangu haziwez kuconnect camera.. Poa kuna wakati nikiizima haizimiki huwa inaleta neno tecno kwa kuzunguka mwanzo mwisho hadi nitoe betri.. Msaada pls.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Nakumbuka CTN ikifika mida fulani hv usiku walikuwa wanaonesha muv za kizungu.. dah haha nimeamka sana usiku kuchek muv na nilikuwa napenda sana vipengele vya mahaba aise ilikuwa poa sana..
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mbarikiwe sana. Naamini itatusaidia vijana wengi kujiajiri wenyewe.... Big up sana wakuu..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume njoo tuyajenge

    Kwa ugeni wangu humu naweza ikawa bahati yangu... Ni pm mrembo....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Ninayempenda hanitaki...
Back
Top Bottom