Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

*****, fans wa pumba fc wana moyo mgumu sana yn pa1 na kufungwa lkn bado wanapata nguvu ya kuandika.

#blues
 
IMG_20191109_233424.jpeg
 
Bwaaaaana tafadhali nionee huruma ni binti yangu wa miaka kumi na miwili anaangamia...........Yeeeesuu nakusihi muokoe binti yangu..........

Geiroooooo usimsumbue mwalimu........binti yako amekwisha kufa( aseno)
 
*Arsene Wenger kutua Bayern Munich, mwenyewe akiri hilo*
.
.
Arsene Wenger anatarajia kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Bayern Munich juu ya kuangalia uwezekano wa kuwa kocha wa miamba hiyo ya soka ya Bundesliga baada ya kuachishwa kazi kwa aliyekuwa mwalimu wa timu hiyo Niko Kovac.
-------------------------------------------------------------------------------------------------- Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Bayern, Karl-Heinz Rummenigge mapema alisema kuwa hana mpango na Wenger, ambaye amekuwa nje ya ajira tangu alivyoondoka Arsenal mwaka 2018.
-------------------------------------------------------------------------------------------------- Lakini kocha huyo wa zamani wa Gunners mwenye umri wa miaka 70, amekiri kuwepo na hilo huku kuiyambia Bein Sports kwamba kwa pamoja na Bayern wameamua kulizungumzia hilo wiki ijayo -------------------------------------------------------------------------------------------------- “Kwa pamoja tumeamua kulizungumzia hilo wiki ijayo, kwasababu hivi sasa nipo Doha, Qatar na nitakuwa huku hadi siku ya Jumapili, na hii ndiyo stori ya kweli.” amesema Wenger.
-------------------------------------------------------------------------------------------------- “Mchana wa siku ya Jumatano, Rummenigge alinipigia. Lakini nisingeliweza kumjibu na kwa heshima nilikuja kumpigia baadaye.” -------------------------------------------------------------------------------------------------- “Alikuwa kwenye gari lake akienda kwenye mchezo dhidi ya Olympiacos. Tuliongea kwa takribani dakika nne ama tano na kuniambia kwamba wamemsajili Hans-Dieter Flick kuwa kocha ambaye atasimamia mechi mbili zijazo.”
-------------------------------------------------------------------------------------------------- “Rummenigge aliniuliza kama nitavitiwa na Bayern kwasababu wanatafuta kocha, nikamwambia sikuwahi kufikiria kuhusu hilo hivyo naomba muda wa kufiria.”
-------------------------------------------------------------------------------------------------- Mfaransa huyo, Wenger ameshinda mataji matatu ya Premier na saba ya FA Cups kwenye kipindi chake cha miaka 22 ambacho ameitumikia Arsenal.
.
 
We can confirm:

1. Contact with Luis Enrique made

2. Luis Enrique still unsure to take the job, has concerns over transfer budget

3. His salary request will make him 2nd highest earner (managers)

4. Board meeting called for tomorrow

5. @UnaiEmery_ expected to be sacked #AFC
 
Unai Emery was close to accepting a deal with Real Sociedad before Gazidis called him to interview for Arsenal. So he was very close in managing a small club in Spain. I can't believe he's our manager.
 
According to El Confidencial , Enrique is a candidate to take over at the Emirates if Emery is sacked.

Furthermore, Spanish journalist Kike Marin has indicated on his official Twitter page that there has been contact between enrique and Arsenal's head of football Raul Sanllehi.

Marin said that Sanllehi was "looking for a substitute" and that there had been talks with Enrique over being that replacement
 
Hii statement nliisema last week na bado huyu Mse*** kama ataendelea na kazi hii lazima tupate presha Arsenal kweli ana goli difference Negative?Negative?aisee tangia naishabikia Arsenal 20 years ago hili limenishtua sana moyo wangu
si ndio hapo mkuu, tumeshacheza tukiwategemea forwards wabovu km Chamakh,Giroud pia Niklas bendtner lakini hatukuwahi kustrugle hivi,
 
si ndio hapo mkuu, tumeshacheza tukiwategemea forwards wabovu km Chamakh,Giroud pia Niklas bendtner lakini hatukuwahi kustrugle hivi,
Tulikuwa hatufanyi vizuri sana Away ila Emirates palikuwa ni machinjio kushinda 4 5 3 ilikuwa ni kawaida ukitufunga away ukija home hauponi ila sasa hivi sio Emirates wala away tunashinda kote pamekuwa pagumu mno
 
Mimi niliwaombea lakin ni washenzi sana

Hawana maana shenzi hawa
Hapa hatunaga matusi,mkiambiwaga kuwa washabiki wa kile kitimu hamjielewi mnalalamika.....
Sasa kufungwa afungwe Arsenal lakini kuteseka unateseka wewe !!!!!!
Pambana na hali yako ,usitegemee ushindi wa Arsenal kukuweka wewe nafasi ya pili hahahaaaaaa kila mtu acheze mechi zake...

Huku sisi tunacheza game zetu na nyinyi chezeni zenu msipende mseleleko kuna Jela na Gesti...
 
Back
Top Bottom