Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Bibie una wasiwasi inaonekana waswahili wanasema 'utamu wa ngoma uingie ucheze' sijui hata unamaana gani huu msemo 🤔
 
Mi binafsi Niko siriazi

Me binafsi Niko Serious..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Binafsi MTU akiniambia yuko mkoa tofauti na ninaoishi hamu ya kuwa naye inakata maana najua hatutafika mbali. So ni heri nikapotezea kuliko kupotezeana muda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hao waleta hizo mada pia wengi wao hua hawapo serious Na ni wachache wanaweza wakawa kweli wanatafuta wenza humu
Lakini pia wengine wanafanya kama sehemu ya kujiliwaza au kudanga kabisaaa
Maoni yangu km unataka mwanaume weka uzi watakufata Pm then mtayajenga huko baada ya kuwafanyia interview

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom