Recent content by Norbert Kapinga

  1. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Secretariat ya ajira: Kichaka cha ajira kwa watoto wa vigogo

    Tatizo ninaloliona kwako ni kwamba unajaribu kuhisi, lakini hujawahi kushiriki hizi interview. pale sekretarieti ni lazima upambane namaanisha uwe unajua vizuri ulichosomea. kama chuo ulikuwa bingwa wa vibomu pale sekrearieti patakutoa jasho haswaa. MASWALI mengi ya sekretarieti huwa yahaendi...
  2. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    uko sawa kabisa kabisa
  3. Norbert Kapinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    hahahahahahaaaaaaaaa hi ni kali ya mwaka
  4. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumesitisha Sunday school na Madrasa, tulichoruhusu ni Ibada tu tena zifanyike kwa muda mfupi kisha waumini waondoke

    hii COMMENT yako imeniongezea furaha siku ya leo, Ahsanteee
  5. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

    Antena na decoda ya Startimes bei gan |+ ufundi??
  6. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aitwa kujieleza Polisi kesho (Mei 08, 2019)

    Aise ni PM niione
  7. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

    Ushaipata au?? Nipm na mm
  8. Norbert Kapinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi ponea tundu la Sindano? Tuambie Ilikuwaje (+Story)

    :D:D:D:D:D:D wife wangu asingenielewa , kwanza angepiga simu kwa mshkaji wangu kuuliza
  9. Norbert Kapinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi ponea tundu la Sindano? Tuambie Ilikuwaje (+Story)

    hahahahaaaaaaa, bila shaka hukumaliza game
  10. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    mmmmmmmh!!!!!! tunashukuru kwa kauri yake ipo siku
  11. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Nalia na NACTE

    ahsante sana
  12. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    jaman mwezenu nimepata selection leo kutoka NACTE, chuo cha st.JOHN COLLEGE OF HEALTH _ Mbeya. Nimewapigia chuo wananiambia nafas za health community zimejaa, nimewapigia Nacte wanasema niende tu kama nafas zimejaa nitapewa barua sasa nina wasiwasi tafadhar naomben msaada wenu
  13. Norbert Kapinga

    JamiiForums Tanzania st.JOHN COLLEGE OF HEALTH _ MBEYA

    nili apply HEALTH COMMUNITY kupitia NACTE leo ndo wamenipa majibu nimechaguliwa st JOHN COLLEGE OF HEALTH _ MBEYA sasa nimewapigia chuon wananiambia nafas walizopewa na NACTE zimejaa, nimewapigia NACTE wananiambia niende tu kama zimejaa nitapewa barua, sasa naomba anayekijua hicho chuo anijuze...
Back
Top Bottom