mbona post zimeshatoka ndugu kwani hukuomba? then waweza omba kwani deadline ni 30/10/2015.
Hivi community health ajira zinapatikana naombeni msaada wenu
Mm nakifahamu kwa kukiona tu kiko vizur sana mazingira yako vizur na hospitali kubwa ya kanisa ipo hapo hapo so pako poa sana sijajua utaratib wao coz napitaga tu
kupata join instruction ingia tovuti ya nacte wameshatoa ya bumbuli.hajaripoti mpaka sasa?anaenda lini maana hata hapa hom kuna boy amechaguliwa huko lakini haelewi hata joining instruction hana.kama kuna mwenye contact zao naomba.
hajaripoti mpaka sasa?anaenda lini maana hata hapa hom kuna boy amechaguliwa huko lakini haelewi hata joining instruction hana.kama kuna mwenye contact zao naomba.
hajaripoti mpaka sasa?anaenda lini maana hata hapa hom kuna boy amechaguliwa huko lakini haelewi hata joining instruction hana.kama kuna mwenye contact zao naomba.