Recent content by Norbert Cheyi

  1. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

    Hiyo ya 9M; vyumba 3, sebule na jiko
  2. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

    Bank ABC wana aslimia 23 per year Kwa 8 years, riba ni 23×8= 184% 184/100× 14000000= 25,760,000/= 25,760,000+14000000=39,760,000/= Kwa hiyo wako sawa. Alichokosea mwalimu hakuuliza riba na makato kwa mwezi.
  3. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu Cheti cha Ndoa

    Naweza kpata nakala ya cheti cha ndoa bila kfunga ndoa?
  4. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Plaster

    Hakuna mafundi wa plaster kwa square meter?
  5. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Nyumba ya vyumba viwili

    Hiyo L yangu hadi apo zimekatika 5.5M Ina vyumba vi3, kimoja masta, sebule moja na public toilet moja
  6. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Naomben namba ya supplier wa Chemicals za laboratory

    Pipette filler za ivo
  7. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Naomben namba ya supplier wa Chemicals za laboratory

    Naombeni mnisaidie number za supplier wa chemicals na vifaa vya laboratory za shule
  8. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
  9. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kulenga magari

    Download app ya kupatana, utapata wamiliki wengi wanaouza magari yao
  10. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za ndani za kike (underwears)

    Watu kama hawa ndoo wanatakiwa kuwepo duniani
  11. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Njooni tupige bodaboda, mimi nikitoka zangu kazini mida ya jioni naingia kijiweni kupose na boda yangu. Kufikia saa tatu usiku sikosi 10 kama faida ingawa hii kazi ni risk saana.
  12. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Lissu atashinda kwa kishindo?

    Ngoja tusubiri
  13. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Mtoa maada..ni mtopolo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Me huwa najipakaga mafuta ya alizeti Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Norbert Cheyi

    JamiiForums Tanzania Simu ya Samsung A30 inauzwa kwa bei nafuu

    350 chap...ila inifikie kigoma
Back
Top Bottom