Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,823
- 40,627
Pole sana komaa ndio uanaume huo. Sasa wewe utatumia nini? Au utanunua ya bei nafuu. Katika vitu siwezi uza nikipigika ni simu.Hahahahahaha acha hvo kiongozi nitafutie mteja.. Siwez kaa na A30 ya 500k afu mfukoni vumbii..