Ujenzi wa Nyumba ya vyumba viwili

Ujenzi wa Nyumba ya vyumba viwili

Vyumba viwili unamaanisha chumba na sebule? Au vyumba viwili vya kulala na mahitaji mengine yakiwemo kama sebule, jiko, choo, dinning nk.?

Ungekuwa na mchoro ukaweka hapa ilikuwa ni rahisi kupata makadirio kuliko kufanya kwa nadharia

Nikutakie kila la heri chief
 
Vyumba viwili unamaanisha chumba na sebule? Au vyumba viwili vya kulala na mahitaji mengine yakiwemo kama sebule, jiko, choo, dinning nk.?

Ungekua na mchoro ukaweka hapa ilikua ni rahisi kupata makadirio kuliko kufanya kwa nadharia

Nikutakie kila la heri chief
Mimi naomba kujua kama inatosha kujenga vyumba viwili vyenye choo ndani yaani master bedroom kwa mfumo wa nyumba za L za kupangisha
 
Makadirio ya ujenzi ingia fb au insta andika ujenzi au ramani then utapata hitaji lako
 
Chumba kimoja master bedroom cha kisasa. + septic tank, + uingize maji + umeme.. milioni 5 inafika.

Kujenga vyumba vingi kwa muda mmoja ni nafuu kuliko kujenga chumba kimoja kimoja
Kwa hiyo ukivipiga kama saba hivi cost per unit inaweza shuka mpaka 4m hivi?
 
Jitahidi uongeze mzee walau ufike 15m hapo unaweza ukaezeka, ukabaki zoezi la Finishing, Madirisha na Milango
 
Anza na hii. Ukipata uwezo utaongeza chumba kingine upande wa kushoto.
20220709_105225.jpg
 
Kwa hiyo hapo mzeya m25 umemaliza kazi na ukiwa na septic tanks?

Ndio. Maji pia huingizi mara mbili mbili wala nguzo za umeme.. Pia tofali hutumii nyingi maana kuta za hivyo vyumba zinategemeana. Na fundi nae humlipi kwa idadi ya rums. Bali kwa jengo moja tu
 
Ndio. Maji pia huingizi mara mbili mbili wala nguzo za umeme.. pia tofali hutumii nyingi maana kuta za hivyo vyumba zinategemeana. Na fundi nae humlipi kwa idadi ya rums. Bali kwa jengo moja tu
Nimekuelewa kumbe kutishana tuu. Naweza jenga gheto langu vizuri kabisa
 
Ndio. Maji pia huingizi mara mbili mbili wala nguzo za umeme.. pia tofali hutumii nyingi maana kuta za hivyo vyumba zinategemeana. Na fundi nae humlipi kwa idadi ya rums. Bali kwa jengo moja tu
👍
 
Back
Top Bottom