Maswali kuhusu Cheti cha Ndoa

Maswali kuhusu Cheti cha Ndoa

Kuweni na heshima na utu Wala hamtoachika.
Hatujalalamika kuachika, hata mwanaume anaachika ndo maana wakiwa katika kuachana mwanaume kama hajakubali kuachika vurugu zote matusi yoote kwa mkewe.....kuachika sio issue....issue ni ndugu kuingilia
 
Kikipotea kaombe nakala pale ulipofungia, then nenda ofisi za vizazi na vifo utapewa nakala halisi,

Waliniibia cheti changu, hawakujua kuwa na mimi ni mtu wa aina ipi.

Nilitengeneza kingine, nilitumia mwanasheria so sihuhangaika
Mamndenyi embu nieleweshe kwanza...!! Walikuibia cheti au walikuibia ndoa?
 
Mimi mke wakati anaondoka hapa kwangu aliondoka navyo vyite viwili atakuwa anavipeleka wapi huyu?
 
Back
Top Bottom