Recent content by nolakinabo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Milioni 60 inatosha kuagiza range rover sport from uk..

    du iyo bei huwezi kupata mpaka liwe mkononi ni mil 90 pale bandarin wanakula fees mil 30 kwa gari kama iyo.nakushauri bora ufikirie gari ingine kama tata au volswagen au benz mbona nazo ni za pekee
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    arawa,bwashe, mbuya,manka,kiboro kimanyatu.mtimhoo.kwaikuru,mleambeya,
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda likizo, harusini, sikukuu nyumbani kwenu unapanda bus la kampuni gani

    napanda kwetu express
  4. N

    JamiiForums Tanzania sensa na makazi

    Leo katika pita yangu mtaani nakutana na walimu wanalalamikate eti wamefunga shule ili washiriki zoez la sensa lakin badala yake wamechukuliwa watu wa mtaani na maofisa. je kuna ukweli kuwa wameachwa kutokana na mgomo ulifanya?wadau 2peane ushauri kwani wanasema zoez hilo linaitaji watu wenye...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naishi na mke ambaye sina mapenzi nae nifanyeje?

    ok bro nimekupata Tatizo kubwa ni la kisaikolojia inaonekana una mwanamke mwingine zaid ya huyo. Je wakati unaanza naye mlikubaliana nini au mlikuwa unajipatia burudani. Kweli ni kwamba ukiendelea kuish naye unaumia moyo piga nikushauri +255757788363
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    mgomo uko vipi huko,
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    izo za tunduma za kweli
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Katika mkoa wa Kilimanjaro: Katika shule za msingi walimu wakuu wameonekana wakiwahi shuleni huku wakiwa hawaelewi mgomo upo vipi "Mi siwezi kugoma nimebakiza mwaka mmoja kustaafu" mwalimu mkuu mmoja alisema. Hali hii inaonekana kuwa mgomo huu hauna nguvu walimu wakuu wanawalazimisha walimu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa geti kali.

    du i kali
  10. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    naomben wadau mnipe habar za matokeo huko Arusha na kule mwanza yakoje na vipi kuhusu wabunge kupigwa ni kweli
  11. N

    JamiiForums Tanzania Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    helikopta jaman sio chama ila ni usafiri wao basi nao hao wanaona vivu watumie ungo kama hel inanawauma cdm ni fimbo m4c inatisha
  12. N

    JamiiForums Tanzania Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    asante kwa taarifa za kwel4
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

    emh inabid nigune kwa sababu habar za leo siziamin hata watu wa arumeru hajaenda kupiga kura kutokana na kile walichotangaziwa kuwa uchaguzi umeahirishwa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Viungo bandia vya siri vyauzwa kama njugu Dar

    jamani wanipe tenda iyo mi ntawatengenezea orijinal na za kienyeji kwa bei poa huku malighafi zipo za kutosha kua nzia inchi 2 hadi 24 ntatengene9a
Back
Top Bottom