Mama yako anamaumivu moyoni, ambayo yamesababisha akuone tofauti na wewe unavyotamani akuone. Lamuhimu ni kuchunguza, je anaishije na huyo mdogo wako? Je anafanya kwake, kama anavyofanya kwako? Then, jaribu kuongea na mdogo wako kuhusu unavyoishi na mama yako!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba! Huyo unayefanya naye kazi anaweza kuwa mzazi mwenzako, ila mazingira mliyokutana ndio mageni kwako, thusway huamini kama anaweza kuwa hapo. Jitahidi kuwa makini sana kwake kama wengine walivyokushauri.
Ushauri wangu kwako;
-Kwanza mtafute weekend au jioni moja tulivu, mtoe out, then...
Maelezo yamebeba hoja za msingi sana. Mwanaume ni kiongozi tangu kuzaliwa. Mwanaume amebeba kusudi la Mungu. Mwanaume akibadilika na kuacha misingi ambayo Mungu aliiweka, hapo ndipo anapoanza kuangamia. Hawezi kubaki salama.
Dunia inamuheshimu mwanaume, endapo ameishika misingi ya Mungu. Ila...
Wandugu! Wenye songi la Allan Mulumba Kashama, lile la sebene, alirushe humu. Moja ya kipande anachogani ni, "kifua chuma"!..
Sent using Jamii Forums mobile app
Clouds inaweza kupitia kipindi kigumu. Hali inayoonekana au inayotokea kwasasa ni hali ya matukio, ambayo inaweza kupelekea Clouds kupita katika kipindi kigumu, kwa kampuni na wafanyakazi wake.
Ifahamike kuwa, Ruge alikuwa kiongozi mkubwa, na alifahamika kama Boss Ruge. Ieleweke vizuri kuwa...
Mwaijah! Tatizo linaonekana lipo kwako. Kinachotokea sasa ni matokeo ya vile ulivyokuwa unaishi, kufanya au kuongea kwa mume wako. Hakuna mwanaume anayeweza kukuoa then leo hasikuthamini. Kitendo cha kukuoa tu, kinakupa thamani kubwa sana.
Pia, inaonesha umeandika kwa kuficha mambo mengi, ila...
Mleta mada unapaswa kukumbuka kuwa, "hoja hujibiwa kwa hoja".
Achana na kudili na Zitto, bali hakikisha unajibu hoja aliyoileta zitto. Kumbuka hoja ni 1.5 trilioni, CAG anaonekana alizikusanya ila hazionekani kutumika kokote. CAG anakiri wazi kuwa, inawezekana zimetumika kwenye matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.