Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

Rafiki wa kike wa mume wangu ananitesa

Hakunaga urafiki Kati ya chatu na mbuzi ipo siku tu mbuzi atamezwa
 
Katika jicho la tatu ninachokiona ni kwamba hii ndoa yenu haikuwa ya hiari kwa pande zote mbili. Its very possible kwamba uliweka pressure sana katika kuolewa aidha kwa umri ama urefu wa mahusiano yenu ilihali mwenzio hakuwa ameridhia kukuoa na kutulia nawewe kama mume.

Seems kwamba wewe si mwenza sahihi kwake na humpi furaha kwa asilimia zote kama ambavyo huyo best yake anampa na the bad news ni kuwa jamaa anamgonga like serious. Plenty of sex and quality time ya feel me! Wewe umefanikisha kuwa mke kwa sababu umefosi na jamaa hakupendi kama ambavyo ulikuwa unadhani sasa anachofanya ni kudhihirisha hilo waziii kupitia huyo gerofrendi wake na ndicho ambacho kinakuumiza!

To be honest nakuonea huruma sana maana kuachaga uhusiano na mwanamke wa hivyo ni ngumu sana. I had one bestfriend who we turned out to be lovers mpenzi wangu akawa anamjua nikabanwa sana nimuache, haikuwa rahisi maana mtoto ananoga kweli kuanzia looks mpaka characters, very humorous, cute & romantic nikimuangalia mains namuona ng'ombe tu. Bestie felt for me utadhani tumetoka tumbo moja DNA zetu zikawa entwined, basi ni burudani na furaha 24/7 sitaki kumkosa hata kwa sekunde 1, kama sipo nae ujue nachat nae tu siku nzima. Kilichonifanya nimuache ni vile alikuwa na mshkaji wake ambae hawakuwa katika terms nzuri by the time so i was rebounded nikaona nisije kosa bara na pwani nikarudi kwa mainchick wangu! Aliumia sana though maana tulikuwa so deep in love and sex tour!
Wacha bwana!! Mie hii ilinitokea kwa rafiki wa bf wangu ikabidi tu tufanye kweli na ikawa ndio the best relationship i ever had.
 
Sasa kama kuna uhusiano si angeolewa huyo rafiki ambae alikuwepo kabla yako. Usikute huyo rafiki ndie alie weka Ok wewe kuolewa, hivi wewe na mumeo huwa mnatext mara ngapi kwa siku? Mnapigia simu mara ngapi? Maongezi yenu yanaendana? Ukimuona mwanaume yupo kwa mwanamke mwengine ujuwe anayofanyiwa ndio mapungufu yako.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Na wewe Tafuta rafiki yako WA olevel wa kiume uwe naye close lazima ataaacha huo ushenzi
 
Dah, ilikuwa mda gani? Baada ya kuachana ama mbona ina ukakasi
Wacha bwana!! Mie hii ilinitokea kwa rafiki wa bf wangu ikabidi tu tufanye kweli na ikawa ndio the best relationship i ever had.
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Pole mkuu.
Huyo ni mke mwenza.
Kuna vitu tu vinawazuia kama ni kuona mfano dini nk..
Ila hao ni wapenzi.
Chakufanya pambana na mume wako kwa njia yoyote ile achana na huyo mwanamke. Asipokupa attention wewe anahamishia kwa mwanamke mwingine,muulize swali simpo tu..je nayeye yupo tayari kushuhudia rafiki yako akiwa bize na wewe?
 
Mwaijah! Tatizo linaonekana lipo kwako. Kinachotokea sasa ni matokeo ya vile ulivyokuwa unaishi, kufanya au kuongea kwa mume wako. Hakuna mwanaume anayeweza kukuoa then leo hasikuthamini. Kitendo cha kukuoa tu, kinakupa thamani kubwa sana.

Pia, inaonesha umeandika kwa kuficha mambo mengi, ila umeyaweka wazi yale tu unayotaka wasomaji tuyaone na kuya-discuss. Ukweli tatizo ninaliona lipo kwako. Haya uliyoyaandika ni matokeo ya hayo uliyoyasababisha kwa mume wako.
Kumbuka huwezi kuvunja huo uhusiano kwa kudili na huyo mwanamke rafiki wa mumeo, bali kwa kudili na mumeo, kwasababu wanaume ndio tunavunja uhusiano. Jamaa akiamua kumuweka pembeni huyo mwanamke, huyo bidada hata afanyaje hataweza kurudisha uhusiano tena.
Inawezekana unachofanya au unavyoishi, sio utaratibu alioutaka jamaa. Au unajifanya unajua sana kuliko jamaa, au unashindana na jamaa, au whatever.

Ushauri wangu kwako; Acha kudili na huyo bidada, then husitumie force ku-solve the issue, bali timiza wajibu wako kwa jamaa. Acha kulalamika lalamika kwa watu kumsemea jamaa ukidhani watakupa suluhisho, coz hakuna mwenye suluhisho wa tatizo lako, isipokuwa wewe mwenyewe. Acha kutafuta usawa kwa jamaa. Wanawake jitambueni!..
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Tafuta na ww rafiki wa kiume muwe karibu bila kufanya lolote.
 
Kwa kweli utamu unogile, i've never been happier than that time katika mahusiano. Ila ujue nini espy huyo mwana ndio alikuwa soulmate wako bila shaka. Sema mmekutana in a wrong time but ndio hivyo, inakuwaga tamu balaa. Pole kwa fumanizi na nadhani hao mabwana urafiki ulifia hapo!
 
Iko hivi..... Rafiki wa bf wangu aligeuka kuwa best friend wangu. Then ubest ukazaa feelings kali kweli kweli. Tukashindwa kujizuia, ikabidi nimuache bf niwe na rafiki yake[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nikikukuta mbinguni walahi naandamana
 
Iko hivi..... Rafiki wa bf wangu aligeuka kuwa best friend wangu. Then ubest ukazaa feelings kali kweli kweli. Tukashindwa kujizuia, ikabidi nimuache bf niwe na rafiki yake🙈🙈🙈🙈
Na hii ndio tabia inayonifanya nifanyege ziara za ghafla kwenye simu ya bebe!
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa mikasa ya watu humu leo na mimi nikaona nilete jambo langu linalonitesa kwa muda mrefu ili nijue nini cha kufanya. Mimi ni binti niko ndani ya ndoa, wakati naolewa mume wangu alikua na rafiki yake wa kike ambaye wenyewe wanadai urafiki wao ni wa kawaida tu kwani wanajuana muda mrefu. sasa tatizo huu urafiki wao umekuwa kero kwangu yani ni ule urafiki uliopitiliza kiasi kwamba kilasiku nikiangalia kwenye cm ya Mr lazima nikute wamewasiliana hata mara 50 text ndo usiseme. Kila sehemu wanaenda wote na huyo binti yani kama kumbikumbi mimi niko chuo wakati mwingine nikiwa chuo nikirudi hom namkuta huyo binti na Mr sebuleni inamaana ana courage ya kuja kwangu mimi nikiwa sipo, mara nyingine weekend tuko nyumbani na Mr, binti anampigia Mr cm njoo nyumbani kwangu ule nimepika, mume naye kilasiku lazima aripoti nyumbani kwa binti, mara binti aje nyumbani kumpitia Mr amsindikize sehemu, wakati mwingine tumelala weekend asubuh saa 1 binti kapiga cm kwa mr unafanya nini amka twende kwa fulani {mshikaji wao} yani full tafrani hana adabu kabisa ila nilichogundua ni kua mr nae ndo anampa ujeuri coz kuna kipindi niligombana sana na huyu binti kuhusu tabia zake huwezi amini alinijibu kuwa mimi siwezi kuwatenganisha kamwe nikitaka nimwambie mume wangu ndio ampige yeye marufuku kua na ukaribu nae ila sio mimi. Jamani cm wanapigiana mpaka saa 6 usiku. wenyew wanadai wao ni marafiki wa kawaida tu na hakuna kinachoendelea. nimejaribu kuuvunja urafiki huo unaoniumiza nimeshindwa mimi wenyewe hawana hata habari. Je kuna urafiki wa aina hii kweli kati ya mwanamke na mwanaume tena mume wa mtu? kwanini kusiwe na mipaka jamani..Huyo mwanamke ni mjeuri hatari ukimwambia anakujibu kwa dharau sana, mume naye ndo kwanza hana habari nisaidieni jamani nifanyaje?
Vita yako ni ya kiroho zaidi Dada wewe unapambana physically
 
Njoo nasisi tuwe marafiki maana huyo demu anakuchanganya
 
Yeah ndio ukweli mzee baba, manzi hapendwi ila sasa afanyaje na yeye kapenda basi analalamika tu. Mwisho utafika atatulia tu ila haitakuwa anytime soon labda Geography iwatenganishe maana Biology ilishafeli. Hata manzi yangu alikuwa analalamika na kulia sana ila afanyeje sasa. But at last mambo yalitulia ila nae alikuja kunipiga mchaka mchaka sitamsahau yule mwanamke aisee!
Sure..Kuvunja uhusiano wa watu ambao walianza kwenye urafiki ulioshiba ndo wakaja kuwa wapenzi ni shida..Mana wanakuwa wanaendana kwa vingi..

Ujue Sometimes unatokea kuvutiwa na msichana..Mnaingia kwenye mahusiano na unamuona huyu ni wife material kabisa.. lakini unakuta hobbies haziendani..Unaamua kumuoa coz unajua atakuwa mke bora..

Lakini kwa vile hobbies zenu haziendani utajikuta tu muda mwingi unahangout na watu wengine..
 
Back
Top Bottom