Zitto Kabwe aombe radhi hadharani kwa kupotosha umma

View attachment 750769
Hii sio mara ya kwanza kwa mheshimiwa huyu kujitokeza hadharani na kuzua mambo yenye kuleta taharuki na usumbufu kwa umma.

Uzushi wake hulenga kuchafua na kufarakanisha umma wa Watanzania.

Naweza kurejea mifano kadhaa ya matamko yake yenye uzushi na yanayojaribu kutumia misinterpretation ya taarifa mbalimbali ili kuvuruga thinking ya jamii.

1-Ni miaka takriban 6 Zitto alijitokeza na kuahidi mbele ya umma kuwa ana majina ya vigogo wa serikali na kijamii ambao wameficha fedha Ughaibuni aliahidi kuwataja hadharani ila hadi leo hakufanya hivyo.

2-Mwaka jana tu Zitto alitoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari haswa haswa mitandaoni na kuudanganya umma kuwa nchi ina janga la njaa na Rais alipaswa kutangaza hali ya hatari au baa la njaa baada ya kauli hii tulishuhudia mkanganyiko, hofu na taharuki zisizokuwa na ulazima wowote.
Kwa kuwa nchi hii inalindwa na baraka za Mwenyezi Mola neema ya chakula ikawepo hadi tukaruhusiwa kuuza nje na bei ya chakula kushuka haswa.

3-Ni Zitto huyu huyu kwa mara nyingine tena amejaribu kuleta mgogoro na mfarakano nchini kwa makusudi kabisa kupotosha maana na uhalisia wa taarifa ya CAG na hivyo pengine kuwafanya wabunge wasihoji maeneo ya maana katika taarifa ile na wakajikita katika kujadili fallacy zilizoletwa na Zitto.
Yaani ninamfananisha Zitto na "bush-CAG" "bush lawyer" au "bush data analyst"

Maoni/Ushauri
Jamii iendelee kumpuuza mtu wa namna hii kwani tulishawahi kusikia kuwa wapo baadhi ya wanasiasa wanaishi na kupata fedha kwa kuzusha mambo na kuchafua watu ili waitwe na kunyamazishwa kwa hongo.Good thing awamu hii imegoma kufanya haya.

Nashauri wasomi wetu mbalimbali kuchukua role zao na sio kushabikia udaku unaotoka Instagram, facebook n.k zinapokuja ripoti kama hizi zenye kuhitaji utaalamu na sio siasa basi vyama na taasisi mbalimbali za kiweledi na kitaaluma zichukue roles zao kujadili na kuelezea kitaalamu kuhusu taarifa zilizomo.
Tusiwaache wanasiasa kutuaibisha na kuabisha taifa kiasi hiki.

Mwisho:
Zitto aombe radhi kiungwana tu kwani ukiwa beach na watoto halafu ukawa umevaa vazi la kikoi ni lazima upepo utakuumbua na kamwe huwezi ukashindana na upepo wa beach.

Soma: Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

Soma: Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

Soma: Kuapishwa kwa majaji wapya Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Usilete propoganda zako hapa. aombe radhi kwa lipi. Kwa taarifa yako si wote hawajui propoganada hizo za kutengeneza kuwaaminisha watu uongo. We need explanation about 1.5 t
 
Polepole keshasema ni mzushi
IMG_20180420_142712.jpg
 
Hesabu za Zitto Kama ni za uongo atakuwa karidhi. Hivi yule wa EFD aliyekuwa anaingiza mulioni 7 kila dakika moja ilikuwa kweli? Au ile meli yetu thamani halisi na mbio zake zilikuwa sahihi mpaka ikawapelekea kuwapa jeshi. Hivi jeshi iyo meli isiyonakasi wamepewa kama nyumba ya majini au maficho.
 
View attachment 750769
Hii sio mara ya kwanza kwa mheshimiwa huyu kujitokeza hadharani na kuzua mambo yenye kuleta taharuki na usumbufu kwa umma.

Uzushi wake hulenga kuchafua na kufarakanisha umma wa Watanzania.

Naweza kurejea mifano kadhaa ya matamko yake yenye uzushi na yanayojaribu kutumia misinterpretation ya taarifa mbalimbali ili kuvuruga thinking ya jamii.

1-Ni miaka takriban 6 Zitto alijitokeza na kuahidi mbele ya umma kuwa ana majina ya vigogo wa serikali na kijamii ambao wameficha fedha Ughaibuni aliahidi kuwataja hadharani ila hadi leo hakufanya hivyo.

2-Mwaka jana tu Zitto alitoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari haswa haswa mitandaoni na kuudanganya umma kuwa nchi ina janga la njaa na Rais alipaswa kutangaza hali ya hatari au baa la njaa baada ya kauli hii tulishuhudia mkanganyiko, hofu na taharuki zisizokuwa na ulazima wowote.
Kwa kuwa nchi hii inalindwa na baraka za Mwenyezi Mola neema ya chakula ikawepo hadi tukaruhusiwa kuuza nje na bei ya chakula kushuka haswa.

3-Ni Zitto huyu huyu kwa mara nyingine tena amejaribu kuleta mgogoro na mfarakano nchini kwa makusudi kabisa kupotosha maana na uhalisia wa taarifa ya CAG na hivyo pengine kuwafanya wabunge wasihoji maeneo ya maana katika taarifa ile na wakajikita katika kujadili fallacy zilizoletwa na Zitto.
Yaani ninamfananisha Zitto na "bush-CAG" "bush lawyer" au "bush data analyst"

Maoni/Ushauri
Jamii iendelee kumpuuza mtu wa namna hii kwani tulishawahi kusikia kuwa wapo baadhi ya wanasiasa wanaishi na kupata fedha kwa kuzusha mambo na kuchafua watu ili waitwe na kunyamazishwa kwa hongo.Good thing awamu hii imegoma kufanya haya.

Nashauri wasomi wetu mbalimbali kuchukua role zao na sio kushabikia udaku unaotoka Instagram, facebook n.k zinapokuja ripoti kama hizi zenye kuhitaji utaalamu na sio siasa basi vyama na taasisi mbalimbali za kiweledi na kitaaluma zichukue roles zao kujadili na kuelezea kitaalamu kuhusu taarifa zilizomo.
Tusiwaache wanasiasa kutuaibisha na kuabisha taifa kiasi hiki.

Mwisho:
Zitto aombe radhi kiungwana tu kwani ukiwa beach na watoto halafu ukawa umevaa vazi la kikoi ni lazima upepo utakuumbua na kamwe huwezi ukashindana na upepo wa beach.

Soma: Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

Soma: Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

Soma: Kuapishwa kwa majaji wapya Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Bangi uliyovuta ya wapi mkuu
 
Jamani hebu mwenye CV ya Pole pole hasa Academic qualifications atuletee humu ndani tumjue maana nasikia na yy ni full Upupu kichwani.
 
Alitaja majina Ila lako halimo.
 
....mifano kadhaa ya matamko yake yenye uzushi na yanayojaribu kutumia misinterpretation ya taarifa mbalimbali ili kuvuruga thinking ya jamii.
Uzushi mwingine mkubwa ulihusu kusinyaa (negative growth) kwa uchumi wa Tanzania akitumia takwimu feki kinyume na sheria za nchi.

Anapaswa kufikishwa mbele ya sheria kuhusu yote hayo.
 
Bahati nzuri tirion 1.5 huwezi danganya maana ni pesa ingi hamtasema mmenunua vitafunwa
 
View attachment 750769
Hii sio mara ya kwanza kwa mheshimiwa huyu kujitokeza hadharani na kuzua mambo yenye kuleta taharuki na usumbufu kwa umma.

Uzushi wake hulenga kuchafua na kufarakanisha umma wa Watanzania.

Naweza kurejea mifano kadhaa ya matamko yake yenye uzushi na yanayojaribu kutumia misinterpretation ya taarifa mbalimbali ili kuvuruga thinking ya jamii.

1-Ni miaka takriban 6 Zitto alijitokeza na kuahidi mbele ya umma kuwa ana majina ya vigogo wa serikali na kijamii ambao wameficha fedha Ughaibuni aliahidi kuwataja hadharani ila hadi leo hakufanya hivyo.

2-Mwaka jana tu Zitto alitoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari haswa haswa mitandaoni na kuudanganya umma kuwa nchi ina janga la njaa na Rais alipaswa kutangaza hali ya hatari au baa la njaa baada ya kauli hii tulishuhudia mkanganyiko, hofu na taharuki zisizokuwa na ulazima wowote.
Kwa kuwa nchi hii inalindwa na baraka za Mwenyezi Mola neema ya chakula ikawepo hadi tukaruhusiwa kuuza nje na bei ya chakula kushuka haswa.

3-Ni Zitto huyu huyu kwa mara nyingine tena amejaribu kuleta mgogoro na mfarakano nchini kwa makusudi kabisa kupotosha maana na uhalisia wa taarifa ya CAG na hivyo pengine kuwafanya wabunge wasihoji maeneo ya maana katika taarifa ile na wakajikita katika kujadili fallacy zilizoletwa na Zitto.
Yaani ninamfananisha Zitto na "bush-CAG" "bush lawyer" au "bush data analyst"

Maoni/Ushauri
Jamii iendelee kumpuuza mtu wa namna hii kwani tulishawahi kusikia kuwa wapo baadhi ya wanasiasa wanaishi na kupata fedha kwa kuzusha mambo na kuchafua watu ili waitwe na kunyamazishwa kwa hongo.Good thing awamu hii imegoma kufanya haya.

Nashauri wasomi wetu mbalimbali kuchukua role zao na sio kushabikia udaku unaotoka Instagram, facebook n.k zinapokuja ripoti kama hizi zenye kuhitaji utaalamu na sio siasa basi vyama na taasisi mbalimbali za kiweledi na kitaaluma zichukue roles zao kujadili na kuelezea kitaalamu kuhusu taarifa zilizomo.
Tusiwaache wanasiasa kutuaibisha na kuabisha taifa kiasi hiki.

Mwisho:
Zitto aombe radhi kiungwana tu kwani ukiwa beach na watoto halafu ukawa umevaa vazi la kikoi ni lazima upepo utakuumbua na kamwe huwezi ukashindana na upepo wa beach.

Soma: Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

Soma: Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

Soma: Kuapishwa kwa majaji wapya Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI
Mmeshaeleza hiyo 1.5 Trillion imetumika wapi na kivipi?
Kweli kabisa mkuu, zitto huwa namkubali sana kwenye kujenga hoja, zitto kazisoma akili za watz, wanapenda vitu vya kuambiwa ata kama vya uongo, somo hili alilipata hasa katika ule walaka wa siri uliowatimua chadema, pamoja na mambo mazuri ndani ya walaka, watz hawakuusoma wakaishia kuambiwa msaliti, azomewe, abigwe mawe(mbeya) nk. Sasa kaamua kutafsiri uongo ripoti ya cag akijua wengi hawajaisoma na hawataisoma , aliwahi sema eti tozo la serikali kwenye ATM na m pesa , zitasababisha watu washindwe tuma au kutoa pesa.
 
Jamaa ni mtaalamu wa kutumia data kudanganya
 
Mleta mada unapaswa kukumbuka kuwa, "hoja hujibiwa kwa hoja".

Achana na kudili na Zitto, bali hakikisha unajibu hoja aliyoileta zitto. Kumbuka hoja ni 1.5 trilioni, CAG anaonekana alizikusanya ila hazionekani kutumika kokote. CAG anakiri wazi kuwa, inawezekana zimetumika kwenye matumizi mengine ya serikali, akaishauri bunge lihoji ni wapi zinetumika.

So, jitahidi kujibu hoja. Ukiweza kujibu hii hoja ya Zitto, ukatueleza hizo 1.5 trilioni zimetumika wapi, ninauhakika unaweza sasa ukaja na hoja ya Zitto kuomba radhi, LA sivyo utakuwa hujielewi. Hata hivyo si lazima na wewe uandike chochote kama unajua huna uwezo wa kujibu hoja.

Mwisho: Pambana kujibu hoja kwanza, then later, utapambana na mtoa hoja.
 
Back
Top Bottom