Recent content by nnunu

  1. nnunu

    JamiiForums Tanzania Mtoto kutopenda kuvaa chupi

    Itakuwa Karithi huyo.....Pamoja na uzee wangu. Nami pia sipendi kuvaa Chupi. Ila naivaa kwa lazima, lakn siyo kwa hiari . Yawezekana nina udugu nahuyo mtoto .......
  2. nnunu

    JamiiForums Tanzania Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

    Wat?!!! Ha ha ha ha mbavu zangu miye.....asante sana, nilikuwa na wiki moja sijacheka kicheko cha kunitoa machozi . Asante sana.
  3. nnunu

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    THINK BIG kimeleta mabadiliko mazuri kwangu na wanangu pia.
  4. nnunu

    JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Hivi hao wanaowakosoa watu kwa makabila Yao...je upande wa makabila Yao WAMEKAMILIKA KITABIA?..... Viumbe mbona wazito?, HAKUNA BINADAMU MKAMILIFU, sisi wote tuna mapungufu yetu, TUVUMILIANE TU. KUKASHFIANA HAKUFAI. Kumbuka unayemkashfu leo ipo siku ATAKUFANYIA CHECKUP YA PUMBU/MBOO au ----...
  5. nnunu

    JamiiForums Tanzania Cancer inachukua maisha yangu

    Pole sana sangalala, mungu akupe moyo wa imani, uvumilivu, matumaini, na kikubwa zaidi akuondolee maumivu. Nakupenda nipo pamoja nawe kwa imani, pole sana.
  6. nnunu

    JamiiForums Tanzania Mwanamme mbahili pia mchoyo

    Thread hii imegusa kumoyo... mwanaume mchoyo na mbahili msikie tu manake mmmh!..... Nataman mwanaume mmoja ambaye ni member wa humu ndani aisome hii thread. Manake ni mbahili sana. Anachochangia yeye ni juhudi za kwenye 6 kwa 6. Ila naamini hata akisoma hatabadilika ksb mara nyingi ameambiwa...
  7. nnunu

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kusaidia kuzuia kansa ya matiti!

    Asante sana, mungu azidi kukubariki na kukuongezea miaka mingi ya kuishi.
  8. nnunu

    JamiiForums Tanzania Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Samahani, namaanisha MUNGU yupo pamoja nawe.
  9. nnunu

    JamiiForums Tanzania Niliambukizwa HIV na mtu niliyemwamini!

    Pole sana ndugu yangu, amini yupo pamoja nawe.
  10. nnunu

    JamiiForums Tanzania Faida ya tunda la karoti

    Asante sana.
  11. nnunu

    JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

    Asante sana kwa elimu utupayo naamini wengi tunafaidika nayo. SAMAHANI, HIVI INAFAA KWA MTU MWENYE NGOZI YENYE MAFUTA MENGI USONI, KUPAKA UJI WA TUNDA HILI USONI ???. Jibu lako litani/tusaidia kupaka au kutokupaka usoni. Napenda kula hili tunda ksb nimezaliwa na kukulia sehemu ambayo...
  12. nnunu

    JamiiForums Tanzania Umuhimu na faida ya kula matunda na mboga majani

    asante, mungu akusaidie kutimiza mipango yako, ili hivyo vitabu viwe msaada kwetu na vizazi vyetu vijavyo.
  13. nnunu

    JamiiForums Tanzania Umuhimu na faida ya kula matunda na mboga majani

    Asante, je una vitabu au kitabu ulichotoa kinachohusiana na mambo ya chakula?, au tiba mbadala?, na kama jibu ni ndiyo, je ki/vinapatikana duka gani la vitabu kwa hapa dar es salaam ?.
  14. nnunu

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la moyo (heart attack)

    Asante mzizi mkavu, kwa elimu unayotupa, binafsi nafaidika sana nayo. Ubarikiwe zaid, na uishi miaka mingi yenye afya njema, ili tuendelee kuipata elimu yako.
  15. nnunu

    JamiiForums Tanzania Kanumba: Hollywood Nao Walonga!

    Kifo kinauma sana, na maumivu yake hayazoeleki. R i p kanumba
Back
Top Bottom