Mtoto kutopenda kuvaa chupi

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
Habari za jioni wana jukwaa, naomba msaada kwa mwenye experience na hili suala. Mtoto wa mpangaji wangu ana umri wa miaka mitatu kasoro na ni wa kike hapendi kabisa kuvalishwa pichu yaani wakati wa kumvisha mpaka akamatwe kwa nguvu, na pia mkizubaa kidogo mnakuta tayari alisha ivua, na pia akichukia hasira zake zinakwenda kwenye kuvua pichu na kuitupa mbali

Ni mkazi wa arusha so suala la kusema labda joto ndio linasababisha hakuna, naombeni mtazamo wapendwa kwa hili suala ili kama sio kawaida na ni majanga tuanze kulitibia mapema
 
Inaoneka huyo mtoto atakua hodar sana wa yalee mambo yetu na vipi wazazi wake wanavaa mavazi ya heshima hususan mama yake?
 
Inaelekea wazazi wake walichelewa kumvisha kufuli labda walikuwa wana kawaida ya kutomvalisha hadi anaanza pata akili
 
Habari za jioni wana jukwaa, naomba msaada kwa mwenye experience na hili suala. Mtoto wa mpangaji wangu ana umri wa miaka mitatu kasoro na ni wa kike hapendi kabisa kuvalishwa pichu yaani wakati wa kumvisha mpaka akamatwe kwa nguvu, na pia mkizubaa kidogo mnakuta tayari alisha ivua, na pia akichukia hasira zake zinakwenda kwenye kuvua pichu na kuitupa mbali

Ni mkazi wa arusha so suala la kusema labda joto ndio linasababisha hakuna, naombeni mtazamo wapendwa kwa hili suala ili kama sio kawaida na ni majanga tuanze kulitibia mapema

mvalisheni suruali/kaptura/track suit.
 
Kama mama yake avai anataka urojo uonekane
Mtoto nae kaona ndio maisha wewe ongea na huyo dogo kama hajakuambia mimi sitaki pichu kwa sababu mama nae havai
 
Waambie wamvalishe skin tight za watoto ziko kama vipensi hivi au wamveshe suruali. Lkn naona kama kuna utata hapo mtoto kutopenda kustiriwa mmmh ngoja wataalam waje watueleze inasababishwa na nini .
 
Itakuwa Karithi huyo.....Pamoja na uzee wangu. Nami pia sipendi kuvaa Chupi. Ila naivaa kwa lazima, lakn siyo kwa hiari .
Yawezekana nina udugu nahuyo mtoto .......
 
Back
Top Bottom