WANAJAMVI MPO?
Ukweli ni upi?, wasomi wanasema ni mabadiliko ya tabia ya nchi. mambo ya kiroho wanasema ni maovu kuzidi.
binafsi mi naona yote yana impact sijui ww
Ushauri huu unafanya madogo wetu kutokuwa na motivation ya kusoma kwani kama wakimaliza chuo wanarudi kulima na kufuga tena kienyeji inaleta conflict of mind sana kukubaliana na hii hali anyway! maisha popote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.