N nkwaru Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 126 Reaction score 42 Dec 3, 2016 #1 Hii tabia ya kuvaliana nguo KWA watu ambao si wana ndoa imekaaje? make mi naona si ustaarabu, achilia mbali uchoyo. nakaribisha mawazo.
Hii tabia ya kuvaliana nguo KWA watu ambao si wana ndoa imekaaje? make mi naona si ustaarabu, achilia mbali uchoyo. nakaribisha mawazo.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Dec 3, 2016 #2 Imeandikwa wapi kuvaa nguo ya mwenzako ni haramu??
Himawari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 2,609 Reaction score 1,703 Dec 4, 2016 #3 Wanaita kugongea! Mie binafsi sipendi kuvaliana!